Ijue kwanza haki, utawajua wenye haki ni kina nani.Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi!
View attachment 3297210
Elimu ya magharibi inafaa kusoma MISAHAFU watafundishwa madrasa kwa waislamu.Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi!
View attachment 3297210
Waarabu kama isingekuwa "ilimu akhera" waliyo ing'ang'ania, wangekuwa mbali zaidi kuliko walipo sasa hivi.Sasa warabu wana elimu gani mkuu si bora hata sisi africa
Puuzi wanasoma kitu bure huko ahera walienda au ni ujinga tuuWaarabu kama isingekuwa "ilimu akhera" waliyo ing'ang'ania, wangekuwa mbali zaidi kuliko walipo sasa hivi.
Elimu mnayo wazidi ndo hii ya necta ya kujifunza panzi ana miguu mingapi au kuna nyingine?Sasa warabu wana elimu gani mkuu si bora hata sisi africa
Nyinyi msio soma ilimu ya akhera mko wapi?Waarabu kama isingekuwa "ilimu akhera" waliyo ing'ang'ania, wangekuwa mbali zaidi kuliko walipo sasa hivi.
Uwarabuni hakuna elimu kule ni mabomu tuHili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua msahafu wa Kiarabu!
View attachment 3297210
Elimu ya uarabuni ni nzuri kwani itakuwezesha kupata kazi bandarini na Azam kirahisi.Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua msahafu wa Kiarabu!
View attachment 3297210