Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania.
Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo kujifunza Landscaping.
Nachukua nafasi hii kuwashawishi wasomi wote dunia nzima kuchangamkia fursa hii ya kujifunza kupitia ubunifu wa kiwango cha kimataifa kwenye Hotel hii.