Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Au atataka chuo kifungiwe
Mbona Sewa Haji haikupokea wasomi ?Majengo yamefanana na wadi ya Sewa Haji pale Muhimbili!
Imependeza lakiniMajengo yamefanana na wadi ya Sewa Haji pale Muhimbili!
Ndio haijawa sasaHiyo hotel vipi kama ingekuwa ya mtu wa ccm? Reaction ya nyumbu ingekuwaje?
Mbona hata mamba na wale rukaruka wakijani ni nyingi pia au wamepoteana na kusahauliana tayari.Hiyo hotel vipi kama ingekuwa ya mtu wa ccm? Reaction ya nyumbu ingekuwaje?
Logic yako hapa ni nini mkuu? Samahani lakini.Majengo yamefanana na wadi ya Sewa Haji pale Muhimbili!
Acha wivuMajengo yamefanana na wadi ya Sewa Haji pale Muhimbili!
Ni hostel yenye viwango!Logic yako hapa ni nini mkuu? Samahani lakini.
Vp Jongwe safari haogopi Rona?Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania.
Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo kujifunza Landscaping.
Nachukua nafasi hii kuwashawishi wasomi wote dunia nzima kuchangamkia fursa hii ya kujifunza kupitia ubunifu wa kiwango cha kimataifa kwenye Hotel hii.
Yani landscaping yake imetengenezwa kitaalam sana ndio maana wasomi wanakuja kujifunzia hapa practical.Yan imekuwa hostel au imekuwaje maana sijaelewa