Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

Hiyo hotel vipi kama ingekuwa ya mtu wa ccm? Reaction ya nyumbu ingekuwaje?
Mpaka sasa hivi sred ingekuwa na peji 50 zinazosema bwana mkubwa kaharibu uchumi wa nchi! Umesahau 'sred' iliyohusu Hotel ya Ngurdoto kupokea wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha?
 
Asante Boss. Kumbe sugu kiboko eeh
Sugu ana exposure, aliwahi kupitapita huko Marekani akiwa msanii kitambo.

Siko R chuga, iko day moko ntakufumania, rchuga raha madingi hawazeekagi mwana.
 
Yani landscaping yake imetengenezwa kitaalam sana ndo maaana wasomi wanakuja kujifunzia hapa practical.
Imetengenezwa na nani!? Kama huyo mchoraji bado yupo,wamchukuwe ndiyo akawe Mwalimu wao kabisa!!
 

Kingwangallah amefungua kiosk ya kuuza Maziwa ya mgando !!!!
 
Kuna siku sugu kasema alitumia hela jimbo kujengea hiyo Hoteli?
Mbona hakujenga miaka yote kabla hajawa Mbunge!? Tafakari kwa kina kabla hujanena Jambo la kiutuuzima Kama hilo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…