Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

Anaona wivu maana ile ya boss wake Kule chattle haifikii desideria.
Hapo umeziirisha CDM ni Wapigaji wazuri! Sugu ndani ya miaka kumi tu ya Ubunge kapiga zaidi ya Magu ambae yuko Serekalini tangu 1995!!
 
Mbona Sewa Haji haikupokea wasomi ?
tunazungumzia nyota 3
mnazipangaje hizo Hotel mpaka mkafikia hiyo Hotel ina hadhi ya Nyota 3?
basi Dodoma zimejaa kila mtaa km Desideria ni nyota 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…