Elimu inarudi ilikotokea... Ni hatari Sana Kwa Afrika

Elimu inarudi ilikotokea... Ni hatari Sana Kwa Afrika

.........my take: tubadili mtazamo wa kudhani kuwa na rasiimali ndo ujanja bali kuwa na akili(elimu & technology), sio kuendekeza ujinga kila siku ooh! tuna mbuga tuna miti kwani nani hana, watu wanatunyanyasia akili au ujuzi.......
Umeandika jambo la maana Sana hili.
 
Unapokuta wasomi wa hadhi na ngazi ya Uprofesa wanaandika ripoti ya uongo ili tu kumfurahisha kiongozi wa kisiasa aliyeko madarakani, maana ya mtu kuwa msomi inatiwa doa.
 
Unapokuta wasomi wa hadhi na ngazi ya Uprofesa wanaandika ripoti ya uongo ili tu kumfurahisha kiongozi wa kisiasa aliyeko madarakani, maana ya mtu kuwa msomi inatiwa doa.
Tanzania kila mtu anataka yeye binafsi awe tajiri na sio Nchi iwe Tajiri 🙄

Na hii ni kwa Afrika yote iko vile 🙄
 
Back
Top Bottom