.........my take: tubadili mtazamo wa kudhani kuwa na rasiimali ndo ujanja bali kuwa na akili(elimu & technology), sio kuendekeza ujinga kila siku ooh! tuna mbuga tuna miti kwani nani hana, watu wanatunyanyasia akili au ujuzi.......
Unapokuta wasomi wa hadhi na ngazi ya Uprofesa wanaandika ripoti ya uongo ili tu kumfurahisha kiongozi wa kisiasa aliyeko madarakani, maana ya mtu kuwa msomi inatiwa doa.
Unapokuta wasomi wa hadhi na ngazi ya Uprofesa wanaandika ripoti ya uongo ili tu kumfurahisha kiongozi wa kisiasa aliyeko madarakani, maana ya mtu kuwa msomi inatiwa doa.