Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

Bado ushamba wa vyuo haujauacha tu? Wengi wenu mnakuwaga choka mbaya hamna cha kulingishia zaidi ya chuo ulichosoma
Umeshakunywa chai? Nitolee hasira na gubu zako, km hukusoma chuo alichokisema OP, hilo ni lako halinihusu. Poleeeeee
Mxxxiiiiieeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema hao wote waliingia kwenye soko la ajira kipindi gani........tupe hali ya kwa sasa
 
Ni hivi umeshindwa kuelewa generation iliyopo kwenye senior position kwasasa ni zao la miaka ipi, senior position nyingi kwasasa tuna umri 40+ hawa enzi zetu tulikuwa na udsm, sua na mzumbe kwahio automatically lazima utukute ktk nafas nyingi za juu... Ila haina maana udsm tuna ubora sana ktk elimu, baada ya miaka 10 senior position zote utawakuta sasa waliosoma kule udom n.k...
Ni kama ilivyo sasa ktk mziki zao la watu waliosoma chuo cha P.Funk na Master J karibia wote hawapo tena ktk soko la mziki, wameingia zao la chuo cha akina S2Kizz, Laizer n.k...
 
Chuo flani hakiwezi ku define uhakika wa ajira fulani ...Bali ni how smart upo

Mfano Mimi nlipiga mzumbe ....but nna ajira safi sana .....lkn cocastic ni beki tatu wangu ingawa amegraduate udsm....coz nliona anambwela tu kitaaa....ila Kwa vilebkasomea mapishi pale Udsm....nikaona nmpe mkataba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan graduate wa UD awe beki 3 wa graduate wa Mzumbe? Wee ulisikia wapiii? Lini? Nani alisema?

Woiiiiiiiih
 
Huna network ya maana hujulikani kazi huna kataa usikatae, chuo ulichosoma kina ongeza value 10% hiyo ni kuanzia sekta binafsi na sekta ya umma, wachache sana wanajipambania 10% the rest 80% ya ajira ni za connection
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan graduate wa UD awe beki 3 wa graduate wa Mzumbe? Wee ulisikia wapiii? Lini? Nani alisema?

Woiiiiiiiih
Sema tu mkataba ni Siri .....ningekaweka hadharani kamakataba Kako ka ubeki tatu[emoji23][emoji23]
 
Endelea kujidanganya
 
Umeshakunywa chai? Nitolee hasira na gubu zako, km hukusoma chuo alichokisema OP, hilo ni lako halinihusu. Poleeeeee
Mxxxiiiiieeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnakuwaga choka mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ afu ukoo mzima wewe ndio msomi lazima kaushamba kawepo

Afu uliza kozi aliyosoma sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnakuwaga choka mbaya[emoji23][emoji23][emoji23] afu ukoo mzima wewe ndio msomi lazima kaushamba kawepo

Afu uliza kozi aliyosoma sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km hukusoma UDSM poleee, hasira peleka kwa prospectus ya UD, ambayo ilikukataa kuwa Hu qualify kuwa palee.

Hiloo ni lakoooo, utavavaaa na utahanyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama UDSM yenyewe inatoa product kama zako nashkuru Sijapita hapo mkuu

au mkuu ulisoma kozi gani pale?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mi binafsi ni telecommunications engineering
 
Hao ulioorodhesha wamesoma enzi hakuna vyuo vikuu vingi. Tegemeo lilikuwa UDSM peke yake. Ila kwa sasa mchezo umebadilika. Hata wa vyuo vingine wanapata kazi sawa na wa UDSM kama wako vizuri. Hao wa UDSM kinachowabeba pia wengi wao walikuwa vipanga form IV na VI kwahiyo mwajiri lazima atashawishika kumcheki wa UDSM kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…