Elimu kubwa TAMISEMI ni kunitafutia stress

Kuna watu Wana masters lakini ukimwangalia unaona kweli masters ni usenge
Si lazima usome Mastazi km performance yako Undergraduate ni mbovu. Utaishia kulia lia tu. Pia kuna wengine wanasoma ili kupumzika kutokana na stress za kazi
Shida yetu tumekalili kila anaesoma Masters lazima awe na maisha makali huo ni mtazamo mfu kabisa
 
Umeongea point
 
Hata kada zingine wanalipa mwisho degree, tamisemi hawalipi masters wala PhD, au sikuhizi wamebadilisha?
 
Hivyo vifupi vyako umetuacha, hebu tupe tafsiri.
 
Usipuuzwe. Una hoja.

Harafu ❌
Halafu ✅
Nakumbuka nilitakaga nifanye kazi chini ya mahakama najutia sana. Namshauri mtu ajiepushe na Tamisemi. Enzi za wizara ya Elimu maisha yalikuwa safi sana.

Dseo na Dpseo ni viumbe wajinga sana.

Wanashirikiana na MaHM na Ma HT pamoja na MaAEK kwamba mwalimu ni kama chombo. Maisha ya ualimu ni mates makubwa sana.

Hayo makundi hapo juu yana posho wale Ma-HT 200,000 na Ma HM 250,000 pamoja na MaAEK

Dseo na Ma Dpseo wanakamata 900,000 mbali na LSSE2 ya 3,400,000/=


Haya makundi hapo hayana la ajabu ambalo ToD analikosa. Kikao flani cha Ma HM miaka kadhaa iliyopita kilikaa Nathaniel ni ukumbi wa Mlimani City wakajadili na kukubaliana kumuandikia barua ndeeefu Mh Jakaya kikwete. Niliiona kuisoma wakati wa kuifanyia editing yalikuwa makubaliano kwamba Mkuu wa shule hana nguvu yoyote na kufanya mazingira ya kiutendaji kuwa magumu.

Mapendekezo mengine ni posho. Hii posho wanayoishunda sasa hivi waliiomba wakati huo.

Kilinishangaza na kinanifurukuta hadi leo hii ni kumuacha mwl wa darasani akiwa mkiwa, hana wakumuombea chochote, wao kuanzia wale mambwiga wa Dseo na Dpeo wakila posho ya nyumba,simu na maji kitu kama 900,000 in total. Mwalimu mkuu na mkuu wa shule 200,000 na yule 250,000/= swali najiuliza sana huyo aliyeidhinisha walipwe wao peke yao, mwalimu walimuweka kwenye fungus gani. Tena leo wale ma dseo na ma madpeo wana magari mapyaaa. Juzi wakuu wa shule walichanga wamnunulie rais form ya urais 2025. Ni sawa lakini hawajui kwamba wao ni watumishi wa umma na wamefanya kosa kisheria?

Ofisi ya rais Tamisemi ina madudu mengi mengine ni hayo ya malipo ya posho, kukosa misingi ya utu, uwajibikaji na usawa katika kutoa humuma.

Mleta uzi huu ameona jambo kwa udogo lkn kuna upuuzi mkubwa mno atahitajika rais mwenye upeo pekee ajione ujinga huo auondoe.
 
Kujiendeleza kielimu kunatakiwa kuendane na malengo ya muhusika au Mwajiri wako

Unaenda kusoma Degree ya pili ukiwa na malengo gani?

Umesoma hiyo Degree ya pili na umeshindwa kuitumia (under utilized) halafu unaenda kuongeza na ya tatu ukiwa na malengo gani?

Nadhani msababishaji wa kwanza wa hizo stress ni wewe msomaji sio mwajiri wako maana wakati unaenda kuongeza elimu hamkuweka makubaliono ya kukufanyia promotion baada ya kuhitimu

Baadhi ya watu wanajisomea somea tu na ukiwauliza wanasoma ili iweje hawawezi kukujibu wanachoweza ni kutoa lawama baada ya kusoma
 
Umeandika makala ndefu kwa kiasi fulani ni nzuri lakini kwa upande mwingine ina kawivu ndani yake. Raha ya ngoma ingia ucheze ndipo usimulie watu radha yake
 
Hivyo vifupi vyako umetuacha, hebu tupe tafsiri.
-Aek ni afisa elimu wa kata
-Dao ni afisa taaluma wa wilaya (district academic officer)
-MK NI mwalimu mkuu, HM ni head Master
-dseo ni district secondary education officer/afisa elimu secondary
 
-Aek ni afisa elimu wa kata
-Dao ni afisa taaluma wa wilaya (district academic officer)
-MK NI mwalimu mkuu, HM ni head Master
-dseo ni district secondary education officer/afisa elimu secondary
Ahsante sana, una akili, siyo mwingine anajibu ovyo ovyo tu na stress zake za maisha magumu.
 
Ahsante sana, una akili, siyo mwingine anajibu ovyo ovyo tu na stress zake za maisha magumu.
Na huyo jamaa anayejiita STATISTICS inaonekana ni Mwalimu, sasa utaona jinsi walimu walivyo na roho mbaya
 
Unaposema kuwa chawa unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…