Usipuuzwe. Una hoja.
Harafu ❌
Halafu ✅
Nakumbuka nilitakaga nifanye kazi chini ya mahakama najutia sana. Namshauri mtu ajiepushe na Tamisemi. Enzi za wizara ya Elimu maisha yalikuwa safi sana.
Dseo na Dpseo ni viumbe wajinga sana.
Wanashirikiana na MaHM na Ma HT pamoja na MaAEK kwamba mwalimu ni kama chombo. Maisha ya ualimu ni mates makubwa sana.
Hayo makundi hapo juu yana posho wale Ma-HT 200,000 na Ma HM 250,000 pamoja na MaAEK
Dseo na Ma Dpseo wanakamata 900,000 mbali na LSSE2 ya 3,400,000/=
Haya makundi hapo hayana la ajabu ambalo ToD analikosa. Kikao flani cha Ma HM miaka kadhaa iliyopita kilikaa Nathaniel ni ukumbi wa Mlimani City wakajadili na kukubaliana kumuandikia barua ndeeefu Mh Jakaya kikwete. Niliiona kuisoma wakati wa kuifanyia editing yalikuwa makubaliano kwamba Mkuu wa shule hana nguvu yoyote na kufanya mazingira ya kiutendaji kuwa magumu.
Mapendekezo mengine ni posho. Hii posho wanayoishunda sasa hivi waliiomba wakati huo.
Kilinishangaza na kinanifurukuta hadi leo hii ni kumuacha mwl wa darasani akiwa mkiwa, hana wakumuombea chochote, wao kuanzia wale mambwiga wa Dseo na Dpeo wakila posho ya nyumba,simu na maji kitu kama 900,000 in total. Mwalimu mkuu na mkuu wa shule 200,000 na yule 250,000/= swali najiuliza sana huyo aliyeidhinisha walipwe wao peke yao, mwalimu walimuweka kwenye fungus gani. Tena leo wale ma dseo na ma madpeo wana magari mapyaaa. Juzi wakuu wa shule walichanga wamnunulie rais form ya urais 2025. Ni sawa lakini hawajui kwamba wao ni watumishi wa umma na wamefanya kosa kisheria?
Ofisi ya rais Tamisemi ina madudu mengi mengine ni hayo ya malipo ya posho, kukosa misingi ya utu, uwajibikaji na usawa katika kutoa humuma.
Mleta uzi huu ameona jambo kwa udogo lkn kuna upuuzi mkubwa mno atahitajika rais mwenye upeo pekee ajione ujinga huo auondoe.