Elimu kuhusu Kodi (Rent)

Reen tz

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
6
Reaction score
9
Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA).

Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria.

Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa
wafanya biashara na makampuni nk, lengo kujenga uchumi(economic), kuendesha serikali na wananchi.

Kodi(rent) siyo kwa ajiri ya kuwa bana wananchi ,Serikali isitumie kodi kama kigezo cha kuwanyonya wananchi.

Kuna malalamiko juu ya kodi ,zime kuwa ziki wanyonya wananchi bila kuangalia mapato yao .

wananchi ni wahusika wakuu wa kujenga uchumi wa taifa. Hivyo serikali iangalie upande wa pili kujiusisha na uwekezaji wa miradi na biashara.

Kuwapa nafasi wananchi kujikwamua na umasikini (poverty), pamoja na kuondoa unyonyaji wa kodi zisizo na tija, hili wananchi watumike kama miongoni mwa wajenga uchumi na maendeleo kuanzia biashara,elemu,ufugaji ,uvuvi na kilimo.
Kwaajiri ya maendeleo bora na usawa kwa wote .

TUJADILI !!!!
 
Tujadili nini sasa. Ukweli haujadiliwi. Tozo hizi ni unyang'anyi ulioidhinishwa na bunge. Mahakama ndiyo msuluhishi. Nendeni mahakamani
 
Ni kweli na hili tatizo lipo kwa kila mmoja aliye chini ya sheria ikiwemo wewe naamasisha wananchi kwa sababu serikali ni mapendekezo ya wana nchi wenyewe ikiwemo wewe kwanini tusilitatue wote
 
Kodi ya mapato inaitwa Tax sio rent
Rent ni kodi ya kukodi kitu kwa makubaliano
 
Back
Top Bottom