Reen tz
Member
- Jul 14, 2021
- 6
- 9
Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA).
Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria.
Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa
wafanya biashara na makampuni nk, lengo kujenga uchumi(economic), kuendesha serikali na wananchi.
Kodi(rent) siyo kwa ajiri ya kuwa bana wananchi ,Serikali isitumie kodi kama kigezo cha kuwanyonya wananchi.
Kuna malalamiko juu ya kodi ,zime kuwa ziki wanyonya wananchi bila kuangalia mapato yao .
wananchi ni wahusika wakuu wa kujenga uchumi wa taifa. Hivyo serikali iangalie upande wa pili kujiusisha na uwekezaji wa miradi na biashara.
Kuwapa nafasi wananchi kujikwamua na umasikini (poverty), pamoja na kuondoa unyonyaji wa kodi zisizo na tija, hili wananchi watumike kama miongoni mwa wajenga uchumi na maendeleo kuanzia biashara,elemu,ufugaji ,uvuvi na kilimo.
Kwaajiri ya maendeleo bora na usawa kwa wote .
TUJADILI !!!!