KERO Elimu kuhusu makato ya PAYE kwa watumishi wa Serikali za Mitaa

KERO Elimu kuhusu makato ya PAYE kwa watumishi wa Serikali za Mitaa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini?

Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
 
nikwa ajili ya maendeleo ya taifa kwa kadri unavyoingiza kiwango chako cha mshahara
 
Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini?

Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
Ni KODI kama zilivyo kodi nyingine za NCHI.

Kadri MSHAHARA wako unavyokuwa mkubwa ndio na kodi yako inakuwa kubwa.

Makato ya LAZIMA.

  • PAYE (Kodi)
  • PSSSF
  • NHIF

Vyama vya wafanyakazi = Kwa Halmashauri zenye MATAPELI.
 
..ni monthly deduction, baada ya kukatwa NSSF, PSSSF kinachobaki ndyo kinakatwa kodi inatwa PAYE, hii ni kodi ambayo ni 0-30% ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa penshseni (nssf au psssf). Mishahara ya chini haikatwi kodi (PAYE), viwango vya juu zaidi vikitozwa 30% ya kiasi kinachozidi TSh 1,000,000, pamoja na kodi ya ziada (surtax) kwa vipato vya juu sana
 
Back
Top Bottom