..ni monthly deduction, baada ya kukatwa NSSF, PSSSF kinachobaki ndyo kinakatwa kodi inatwa PAYE, hii ni kodi ambayo ni 0-30% ya mshahara unaobaki baada ya kukatwa penshseni (nssf au psssf). Mishahara ya chini haikatwi kodi (PAYE), viwango vya juu zaidi vikitozwa 30% ya kiasi kinachozidi TSh 1,000,000, pamoja na kodi ya ziada (surtax) kwa vipato vya juu sana