Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
Hahahahah Mwanangu Siti Ya Mbele Kabisa Na Umetoa Boko......Kwann kwenye ndege hawagawi ugali au kande? Ikibd waruhusu watu tuingie navyakula vyetu Kama kwenye Basi?
Zipo sababu kadhaa zinazopelekea Uongozi wa Shirika la Ndege kuchagua aina maalumu za vyakula. Pia miongozo ya usalama na afya.Kwann kwenye ndege hawagawi ugali au kande? Ikibd waruhusu watu tuingie navyakula vyetu Kama kwenye Basi?
Ameuliza swali zuri. Watu wengi huhoji kwanini baadhi ya vyakula havipewi nafasi kwenye usafiri wa anga? Ni swali halali.Hahahahah Mwanangu Siti Ya Mbele Kabisa Na Umetoa Boko......
Gharama za usafiri hutofautiana baina ya mashirika ya ndege kutokana na sababu nyingi zikiwemo ubora na viwango.Mbona inchi nyingine tulizowazidi kiuchumi mfano Mozambique, usafili wa ndege ni wa kawaida sana, kwa nini Tanzania ndege ni garama kubwa?
Hili ni suala la kiufundi na kitaalamu.Ikitokea ndege imepata hitilafu juu huko huwa mna tumia njia gani kuokoa abiria?
Bila shaka ni ndege zote za ATCL zinazofanya safari za ndani.Aina gani ya ndege ya ATCL inakwenda Chato?
Weka simuMnaweza kuendelea kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi wa masuala yote yahusuyo safari za ndege.
PM iko wazi pia kwa watakaotaka kuuliza maswali yao pembeni.
Karibuni.
Weka simu
Moja ya changamoto kubwa za usafiri wa anga ni kuvuka bahari (coasting out).Unaelezea vipi usalama wa ndege hasa zile za masafa marefu kuvuka bahari.