Elimu kwa Umma: Tumia Wakala kwenye Safari za Ndege au Huduma za Hoteli kuepuka hasara na kuharibu ratiba zako

Mbona hata website kampuni yenu haina? Hii day and age mnategemea mtu anaishi arusha aje kwa ofisi yenu dar kwa mahitaji ya usafiri?

Website tunayo, ipo hewani na huduma zote unaweza kuzipata kupitia hapo. Unaweza kutembelea www.bonheurtravels.co.tz ambapo kwa sasa ipo kwenye hatua za mwisho za maboresho.

Hata hivyo, tunaendelea na utoaji wa huduma kama utawasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba +255 737 555522 au +255 757 212122 kwa ajili ya booking na mazungumzo mengine yoyote.

Email yetu ni reservations@bonheurtravels.co.tz

Karibu sana mkuu.
 
Website yeni bado sana. Kwa dunia ya sasa kuna optiona nyingi kama Momondo .com nk na website nyingine ambapo watu tunaingia directly na kununua tickets. Inabidi mjiongeze. Kwa mtu kama mimi sidhani kama kuna travel service ambayo mnaweza kunisaidia. Lakini kuna watanzania ambao hawana access to credit cards etc. Hao ndio muwalenge. All in all good luck kwa biashara yako. Japo kwa sasa travel agency aisee ni changamoto. Tours zikianza angalia zaidi kufanya mambo ya booking za safaris. Hizo zina demand kubwa sana.

www.momondo.com/
 
Asante kwa maoni mazuri. Tunakubaliana na wewe.

Kama tulivyoeleza, website haijakamilika bado ndio ipo kwenye matengenezo. Tumeiweka hewani ili ifahamike kuwa ipo na tunafanyia kazi lakini haijaanza kutoa huduma directly.

Kuhusu huduma za Safaris, nazo ni sehemu ya huduma tunazozitoa.

Mapendekezo mengine tutaangalia namna ya kufanya ili kuboresha huduma zetu.

Asante sana.
 
Kwa kuongezea:

Hakikisha Travel Agent unayemtumia amesajiliwa na ana uzoefu na ujuzi wa huduma hiyo. Hii itakusaidia kunufaika na mahusiano yake ambayo ameshayajenga na mashirika ya ndege, kampuni za utalii na mahoteli mbalimbali kwa muda mrefu. Pia kwa uharaka wa kufanikisha mipango yako.

Asante.
Suala la uzoefu linabana kila kona, newbie sijui tutaishije mjini sasa.
 
Chagua Agent ambaye hatozi hizo fee.

Wapo Mawakala ambao wanalipwa na shirika au hoteli husika hivyo hawamchaji mteja chochote na bado wanampa hiyo personal assistance ambayo hawezi kuipata kwa mtoa huduma wake.

Mfano sisi Bonheur Travels Tanzania hatuchaji gharama za ziada wala tozo yoyote ile kutoka kwa mteja.
Asante.
Mmh. Promo ila wabongo tunajuana ila i suspect Kuna hidden costs hapo.
 
Ma agent wanalipwa na shirika la ndege wanalokukatia tiket......mteja utalipia bei ileile ya ticket ya shirika utakalo safiri
 
Mmh. Promo ila wabongo tunajuana ila i suspect Kuna hidden costs hapo.

Hapana, hakuna hidden costs yoyote. Gharama utakayolipa kwa agent ni ile ile na utakayolipa ukiamua kubook mwenyewe.

Faida za kutumia agent tumeshazieleza hapo juu.

Asante.
 
Bei yake inaendana na advantage unazopata ukibook kwa agent , kubook direct mambo yakibadilika baada ya booking huna options nyingi......
Ku-book direct unapunguza pesa ya udalali pia option ya ku-cancel/change zipo. By the way Kenya Airways hawaruki siku hizi? nichek ticket ya Accra 05.03 sioni KQ Zaid ya EK/flydubai (kupitia Dubai) na ET (Addis)
 
Mkuu, pengine unatumia agent ambaye anacharge zaidi hivyo hatuwezi kupingana na wewe moja kwa moja.

Lakini, kwa kawaida Agent hachaji pesa zaidi ya ile ungechajiwa hata ukienda kukata tiketi ofisi za ndege husika. Ndivyo hata sisi hufanya pia.

Tukusaidie kucheck tena hiyo ticket ya Accra kwa KQ?
 
L

Mkuu enzi za JK nimesafiri Sana kwa kutumia Travel agencies ( za Wahindi) commission Kama zote. Niliwahi kulipa 70USD (commission fee) JKIA-OR Tambo
 
Back
Top Bottom