Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
- Thread starter
-
- #21
Mbona hata website kampuni yenu haina? Hii day and age mnategemea mtu anaishi arusha aje kwa ofisi yenu dar kwa mahitaji ya usafiri?
Website yeni bado sana. Kwa dunia ya sasa kuna optiona nyingi kama Momondo .com nk na website nyingine ambapo watu tunaingia directly na kununua tickets. Inabidi mjiongeze. Kwa mtu kama mimi sidhani kama kuna travel service ambayo mnaweza kunisaidia. Lakini kuna watanzania ambao hawana access to credit cards etc. Hao ndio muwalenge. All in all good luck kwa biashara yako. Japo kwa sasa travel agency aisee ni changamoto. Tours zikianza angalia zaidi kufanya mambo ya booking za safaris. Hizo zina demand kubwa sana.Website tunayo, ipo hewani na huduma zote unaweza kuzipata kupitia hapo. Unaweza kutembelea www.bonheurtravels.co.tz ambapo kwa sasa ipo kwenye hatua za mwisho za maboresho.
Hata hivyo, tunaendelea na utoaji wa huduma kama utawasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba +255 737 555522 au +255 757 212122 kwa ajili ya booking na mazungumzo mengine yoyote.
Email yetu ni reservations@bonheurtravels.co.tz
Karibu sana mkuu.
Asante kwa maoni mazuri. Tunakubaliana na wewe.Website yeni bado sana. Kwa dunia ya sasa kuna optiona nyingi kama Momondo .com nk na website nyingine ambapo watu tunaingia directly na kununua tickets. Inabidi mjiongeze. Kwa mtu kama mimi sidhani kama kuna travel service ambayo mnaweza kunisaidia. Lakini kuna watanzania ambao hawana access to credit cards etc. Hao ndio muwalenge. All in all good luck kwa biashara yako. Japo kwa sasa travel agency aisee ni changamoto. Tours zikianza angalia zaidi kufanya mambo ya booking za safaris. Hizo zina demand kubwa sana.
www.momondo.com/
Unakutana na changamoto gani kwenye huduma zao?
Hongera sana mkuu. Tunaamini unafurahia huduma.Sijakutana na changamoto yoyote
Suala la uzoefu linabana kila kona, newbie sijui tutaishije mjini sasa.Kwa kuongezea:
Hakikisha Travel Agent unayemtumia amesajiliwa na ana uzoefu na ujuzi wa huduma hiyo. Hii itakusaidia kunufaika na mahusiano yake ambayo ameshayajenga na mashirika ya ndege, kampuni za utalii na mahoteli mbalimbali kwa muda mrefu. Pia kwa uharaka wa kufanikisha mipango yako.
Asante.
Ni ushauri tu sio lazima. Kwa newbies mnaweza kujitengenezea customer base endapo mtakubali kujifunza na kujijenga kwanza kabla hamjaangalia kupata faida kubwa.Suala la uzoefu linabana kila kona, newbie sijui tutaishije mjini sasa.
Mmh. Promo ila wabongo tunajuana ila i suspect Kuna hidden costs hapo.Chagua Agent ambaye hatozi hizo fee.
Wapo Mawakala ambao wanalipwa na shirika au hoteli husika hivyo hawamchaji mteja chochote na bado wanampa hiyo personal assistance ambayo hawezi kuipata kwa mtoa huduma wake.
Mfano sisi Bonheur Travels Tanzania hatuchaji gharama za ziada wala tozo yoyote ile kutoka kwa mteja.
Asante.
Ma agent wanalipwa na shirika la ndege wanalokukatia tiket......mteja utalipia bei ileile ya ticket ya shirika utakalo safiriMmh. Promo ila wabongo tunajuana ila i suspect Kuna hidden costs hapo.
Fanya tafiti tenaMa agent wanalipwa na shirika la ndege wanalokukatia tiket......mteja utalipia bei ileile ya ticket ya shirika utakalo safiri
Mmh. Promo ila wabongo tunajuana ila i suspect Kuna hidden costs hapo.
Ma agent wanalipwa na shirika la ndege wanalokukatia tiket......mteja utalipia bei ileile ya ticket ya shirika utakalo safiri
Bei yake inaendana na advantage unazopata ukibook kwa agent , kubook direct mambo yakibadilika baada ya booking huna options nyingi......Fanya tafiti tena
Ku-book direct unapunguza pesa ya udalali pia option ya ku-cancel/change zipo. By the way Kenya Airways hawaruki siku hizi? nichek ticket ya Accra 05.03 sioni KQ Zaid ya EK/flydubai (kupitia Dubai) na ET (Addis)Bei yake inaendana na advantage unazopata ukibook kwa agent , kubook direct mambo yakibadilika baada ya booking huna options nyingi......
Ku-book direct unapunguza pesa ya udalali pia option ya ku-cancel/change zipo. By the way Kenya Airways hawaruki siku hizi? nichek ticket ya Accra 05.03 sioni KQ Zaid ya EK/flydubai (kupitia Dubai) na ET (Addis)
Mkuu enzi za JK nimesafiri Sana kwa kutumia Travel agencies ( za Wahindi) commission Kama zote. Niliwahi kulipa 70USD (commission fee) JKIA-OR TamboMkuu, pengine unatumia agent ambaye anacharge zaidi hivyo hatuwezi kupingana na wewe moja kwa moja.
Lakini, kwa kawaida Agent hachaji pesa zaidi ya ile ungechajiwa hata ukienda kukata tiketi ofisi za ndege husika. Ndivyo hata sisi hufanya pia.
Tukusaidie kucheck tena hiyo ticket ya Accra kwa KQ?
L
Mkuu enzi za JK nimesafiri Sana kwa kutumia Travel agencies ( za Wahindi) commission Kama zote. Niliwahi kulipa 70USD (commission fee) JKIA-OR Tambo
Kipindi hicho nilikua na hela so kutoa 70USD haikua ishu ila kwa sasa nimefulia mpaka aibu.Pole mkuu. Ungefanya tafiti zaidi ungepata agent asiyetoza commission fee!
Hasara hakuna?Hapana, hakuna hidden costs yoyote. Gharama utakayolipa kwa agent ni ile ile na utakayolipa ukiamua kubook mwenyewe.
Faida za kutumia agent tumeshazieleza hapo juu.
Asante.