BORN AND MADE
- Mkuu ili uwe made Entrepreners ni lazima uwe na spirit ndani yako yaw ewe kuwa kutaka kweli kuwa mjasirimali, Wachaga ndo maana wapo wafanya biashara na wapo wafanya kazi na wapo wasio na kazi kabisa na wako tu vijiweni, so unaweza kujiuliza ni kwa nini basi wote wasiwe wafanya biashara kama ndugu jamaa na marafiki ni wafanya baishara? BADO NARUDI KWAMBA UTAYARI WAKO WEWE, JE UNA DRIVING FORCE YA KUKUPELEKA HUKO? KAMA HUNA BASI
- WAHINDI- Wahindi nao ingawa wako wafanya kazi sema wanapiga kazi wao kwa wao, wanaajiriwa na wenzao huwezi kuta wanaajiriwa na wabongo, Na ni kweli wengi wao wanakuja kusimamia biashara za baba zao, ila ukijarbu kucheki some time wapo wanafanya hivyo kwa sababu ya Nature kwamba wewe Fulani utakuwa unasimamia mauzo, wewe utasimamia kitu Fulani,
SO INABAKIA KWAMBA MKUU NI LAZIMA KWANZA UWE NA HIYO SPIRIT NDO BASI UNAWEZA FANYA HIVYO,
Na kwa Bongo some time kujua spirit ya mtu ni vigumu sana kwa sababu wapo ambao wanafanya biashara kwa sababu hawana jinsi nyingine na ikitokea kazi ya kulipwa vizuri basi wataachana kabisa na ishu hizo,
Mfano wa Made Entrepreners
-Chukulia Mfano wa Chuo cha Sokoine Univesity, labda Kozi ya NYUKI, Unaweza kuta katika ile kozi ya Nyuki akatokea mwanafunzi mmoja hata wawili au zaidi baada ya Kozi wao wakawa opt kwenda kuanza kufuga NYUKI, so wale wanafunzi pale tunaweza sema ni MADE ENTREPRENERS inagwa basi wale wanafunzi from mwanzo wao tiyari walikuwa na mentaility ya kuja kujiajiri so that is why baada ya kumaliza kozi ya UFUGAJI WA NYUKI wakaamua moja kwa moja kuingia field.
MFANO WA PILI:
- Chukulia Chuo Cha IT, pale IFM baada ya wanafunzi kuhitimu Degree ya IT wanaweza tokea watatu wao moja kwa moja wakaingia kwenye game la kuwa watengeneza kazi, na hapa ni baada ya wao kuwa wamepiga IT na kuhitimu
- Hawa jamaa walikuwa na mentality au spirt ya kujiajiri na so wamepata sehemu ya kutokea,
SO MKUU WAPO AMBAO WANA MENTALITY KWELI YA KUJIAJIRI NA WANA SPIRIT YA UJASIRIMALI ILA STILL NI WAFANYA KAZI NA HAWAJAPATA SEHEMU YA KULIPUKIA,
Ni kama ilivyo kwamba mtu Fulani anaweza kuwa Alisha kufanyia mabaya, kukurusha pesa zako nyingi sana nahii iko rohoni mwako na wewe unatafuta tu siku muafaka atakapo ingia kwenye 18 zako, na siku akiingia wewe utapambana naye si kwa sababu alikurusha pesa nyingi sana ila si kwa sababu leo hii kagonga Gari lako kwa Nyuma,
MAMBO MENGINE NI WIZI NA KAZALIKA, Mfani hilo la wafanya kazi kutajirika katika Dunia ya Ubapari huwezi kuwa mfanya kazi ukatajirika, hizo unakuta ni mbinu chafu ikiwemo za kuiba ambazo ni maalufu sana Bongo, Na Mkuu si kwamba wewe ukapata pesa kutoka kwa mwajiri wako na ukanunua TOYO basi wewe umekuwa Mjasirimali,
KURITHI BIASHARA YA FAMILIA
- Kuna hatua za kufuata katika Kurithu na mkuu si kwamba Kurithi basi umekuwa mjasirimali,anaangaliwa initiator wa Idea
MFANO:
- Kampuni ya Magari ya FORD- Hapa jamaa Alisha kufa lakini watoto wake na wajukuu na kazalika bado wanaongoza kampuni, but anaye tambulika mjasirimali ni Henery Ford na si hawa watoto wake,
-Dunia inamtambua TOYOTA wa kwanza na si hawa wasasa hivi ingawa wanaendelezza game ya baba yao
- Dunia inamtambua Thomas Edsoni so kampuni yake kwa sasa ingawa iko kwenye game ila yeye ndo initiator wa Idea na si watoto wake
HIVYO MKUU KURITHI BIASHARA YA FAMILIA HAUKUPI GARANTEE YA WEWE KUWA MJASIRIMALI BADALA YA MAREHEMU, BADO MAREHEMU ANATAMBULIKA KAMA MWANZILISHI, NA NI SAWA NA WEWE KUWA NA WAFANYA KAZI NA WEWE UKAWA UNABAKIA NYUMBANI UMELALA,
Kinacho tazamwa ni initiator wa wazo lenyewe, na si wazo linafanya vipi kazi,
Kampuni ya Microsoft ina vichwa vy kufa mtu na wanafanya kazi usiku na mchana na hata leo hii Bil gate akifa kampuni itaendelea kuwepo, but ni Billigate ndo mjasirimali na si hawa sijui Marketing Director na kazalika