Kubota
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 533
- 1,101
KUBOTA naomba utuorodheshee vitu ambavyo wewe unazani unaweza kumfundisha mtu naakawa mjasirimali, ni vizuri wanao sema vinafundishwa waorodheshe hivyo vitu,
ILA BADO MSIMAMO WANGU NI KWAMBA TUNAWEZA FUNDISHA WATU MBINU AU BUSINESS SKILLS N SIO UJASIRIMALI, AU VINGINEVYO WEKA NI VITU AMBAVYO UNAZANIA UNAWEZA MFUNDISHA MTU AKAWA MJASIRIAMALI
Chasha na wewe Mkuu wangu huchoki tu! Consult ameshusha mzigo wa uthibitisho hapa! Mimi acha nitaleta akiba yangu ya mwisho, ila mkuu nihakikishie kwanza kama mtambo wako unaweza kuplay YOU Tube video ili nikuletee na wewe upigwe semina ushuhudie kwamba tunachosema ni kweli na kinaendelea. Heshima kwako Mkuu wangu Chasha na ninakutakia mfungo mwema wa Ramadhni.