Elimu, Maarifa na Ujuzi vina Nafasi gani Katika Kuchangia Mafanikio ya Mjasiriamali?


Chasha na wewe Mkuu wangu huchoki tu! Consult ameshusha mzigo wa uthibitisho hapa! Mimi acha nitaleta akiba yangu ya mwisho, ila mkuu nihakikishie kwanza kama mtambo wako unaweza kuplay YOU Tube video ili nikuletee na wewe upigwe semina ushuhudie kwamba tunachosema ni kweli na kinaendelea. Heshima kwako Mkuu wangu Chasha na ninakutakia mfungo mwema wa Ramadhni.
 
Mkuu Chasha, nashukuru kuwa nawe unaamini kuwa mjasiliamali na sprit/driving force inside his/her heart pia ukumbuke hiyo driving force inaweza kupandikizwa kwa mtu yeyote yule ni sawa imani watu wanaamini miti kuwa ndio miungo yao na wanapona kulingana na imani yao, hiyo swala kuaminishwa au kujifunza kwa jamii inakuzunguka. unaweza fikiri kuwa umezaliwa na talent ya ujasiliamali kumbe ulisikia stori ya babu/shangazi/mjomba/jiran kuwa alikuwa mfanya biashara na we ukapenda we uwe hivo kulingana na mafanikio aliyoyapata unajikuta kuwa kuna kitu ndani ya moyo wako kinahitaji kutimiza hiyo ndoto. kwa hiyo driving force ni kuaminishwa ni sawa na kumwambia mtanzania nyoka analiwa hatakuelea wakati china ni kitoweo safi

 
Ujuzi; Elimu; Maarifa...

Vyote vinachangia positively ingawa haimaanishi kukosa vyote au kimojawapo inamaanisha hautafanikiwa.., ila kama hauna kimojawapo ukikipata ni faida zaidi sababu utakuwa umeongeza skills.

Ujuzi : Nadhani hii ni no brainer..., bila kujua / ujuzi na unachofanya unless una mtu anayejua mwisho wako utakuwa sooner rather than later

Elimu : Sijui ni Elimu gani inayozungumziwa hapa je ni elimu ya kile unachokifanya hence maarifa au ni elimu / just educated ? sababu sometimes elimu ya mtu inaweza ikamfanya ajione kwamba anajua sana akawa mgumu kuchukua ushauri wa watu.
 
Ujasiriamali ni inborne character, its like the way huyu anazaliwa na sauti nzuri inayofaa kuimba, na huyu inafaa kuwa mtangazaji, na huyu ni mcheza mpira, ujasiriamali ni kipaji. Sasa kusema hivyo haimaanishi kuwa watu hawawezi kusoma na kufundishwa kuwa wajasiriamali. Unaweza kuwapata trained entrepreneurs na wakawa vizuri tu, sababu unawafundisha principles muhimu za ujasiriamali. Ni kama wacheza soka , Wengi tunajua kuwa WaCHEZA SOKA WANA VIPAJI, lakin still tuna soccer academy, same to music, music ni kipaji lakin bado tuna music schools, ni hivi mtu anazaliwa na kipaji lakin hizi academy zina kazi ya kumfundisha principles. Wachagga, wahindi,jews,wakinga etc ni mfano wa group za watu ambazo most scholars believe kwamba wana zaliwa wakiwa tayari na character nyingi zinazomfanya mtu aitwe mjasiriamali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…