Elimu na harakati za kijana

Elimu na harakati za kijana

Hellsam mnele

New Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
0
Reaction score
0
Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku.

Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo.

1280px-English-English_and_English-Persian_dictionaries.JPG

Chanzo:Google

Karatasi zipo ndani ni degree ya habari na mawasiliano lakini ni muhimu kutegemea Sana genge lililopo MTAANI Ili harakati zangu ziende na nitimize haja ya kama kijana kuondoka katika Hali ngumu ya kumtegemea mzazi alihangaika miaka yote kumfundisha na ukimpeleka kijana akapate elimu ambayo baadae ya kuipata serikali inahamasisha kujiajiri inamana harakati za mzazi ni kumfanya apate sifa za kumsomesha kijana na si kufaidika na elimu hiyo

Angalau itasaidia katika mienendo ya kimaisha(life skills) unaposoma elimu ngazi ya degree Ili uwasiliane nao kwa misingi ya kisomi ni lazima usome misingi hiyo ndiyo tunayotoka nayo vyuoni

Elimu imepewa jicho tofauti na hapo mwanzo kwasasa wanasiasa wanahamasisha vijana wajiajiri lakini wakati huo watoto wao wamewapeleka nje kuwaendeleza kimasomo Ili waje kuwa wafujaji mali za nchi Wala hakukumbuka kuwa uti wa mgongo wa mwananchi anaemuhamasisha kujiajiri ni jembe swali je !ni kwanini hakumuhamasisha kijana wake abaki nchini akalime ama akajiajiri kwasababu kazi zipo chache nchini.

image350x235cropped.jpg

Chanzo:Google

Unamaana rasmi kuwa vijana wao wamewaandalia kazi maalumu Ili waje kuzitumikia wakitoka masomoni na ni tofauti na majembe wanayosema vijana wa wakina Mama na wakina Baba wanaokata mbuga na magari ya malori kutafuta pesa Ili vijana wao wapate elimu.

Ili msingi wa elimu ubadilishwe na uwe wenye nguvu na vijana wote wapate kazi kutokana na elimu waliyonayo ni kwa njia mbili kama si Tatu
Muda wa wafanyakazi serikali upunguzwe Ili vijana wapate nafasi, kuna wafanyakazi wazee ambao kwa namna moja ama nyingne wanapaswa wapate tu mafao lakini serikali imewakumbatia na kinwafanya kama wafanyakazi huku vijana ambao ndiyo wanaojenga muhafaka wa nchi iliyo na maendeleo na wafanyakazi wenye nguvu wakiwa wamekaa kwenye vijiwe na elimu yao wameweka vichwani na kweny Mafile ya makaratasi

Mbili,Vikwazo na too mbalimbali ziondolewe ,uwepo wa tozo kubwa kila siku ni kikwazo kikubwa kwa kijana mwenye malengo yake kwa kutegemea elimu aliyonayo ,kijana anaesoma sayansi anapotengeneza ndege hapati nafasi ya kuendelea na utafiti kwa sababu ya kikwazo cha mamlaka ,Sasa elimu aliyoipata inafaida gani au kwasababu ni kuja a wa mkulima ndiye alietengeneza lakin akaitengeneza kijana wa fisadi mmoja nchini anapewa kubaki atengeneze nyingi zaidi hatutoendelea kwa Hali hii.

image1024x768.jpg

Kwasasa wanachuo na vijana wengi mitaani ,kwa aliesoma hana tena maoni juu ya Hali halisi anayoiona maana inatia hasira na kupelekea wengine kukataa tamaa sionkwamba hawajielewi ni msukumo wa yale anayojionea MTAANI kaka anadegree ya ualimu na yupo MTAANI.

Amesomea jiografia je gengeni akaitumie vipi ?
 
Back
Top Bottom