Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Sawah Ila hajasoma
Ni tejahh
Ana kizazi Cha wanjingahhh😂😂😂
Mie kwetu wasomi🤣🤣
Hata billgate ni msomi
Hajazaliwa na mamantilie wa buza🙏
1.)Na usomi wenu hata rolls royce hujawahi iona live na hamna mtu kwenye kizazi chenu aliyewahi kumiliki.

2.) na usomi wenu hamna mwenye mali hata 25% ya alichonacho domo.

3.) mama ake alikuwa mama ntilie ila saivi katakata kangaa

We mmama embu lea watoto wako huko wanakutegemea sana au bado unaendelea kudangia vijana na sura yako mbovu?

 
Kakuzidi kimaisha by far
Achana na huyo mmama single maza mkuu ana wivu huyo 🤣🤣😎


 
Le Mutuz alisomaga wapi?
 
Eh nini kinaendelea hapa😂😂😂😂😂
 
Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
As if kidnapping is simple like that ,[emoji4][emoji4]
 
'system' hufanya selection ya watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…