Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Unasomesha mtoto shule ya 20mil kwa mwaka kwa miaka 24 anakuja kuajiriwa kazi ya mshahara wa 5mil nonsence
Hiyo hela ya milioni 20 hapewi mkononi ni ada yake anayoshika mkononi ni hiyo milioni tano akiajiriwa ataiona kubwa sababu hajawahi shika

Hata ungesomesha kayumba bweni mfano unalipa laki tatu.kwa mwaka akirudi na akipata kibarua kwa mhindi analipa laki mbili.kwa mwezi ataziona hela nyingi.sababu hujawahi kumpa laki.mbili.cash pocket money yake atumie atakacho
 
Hili liwe somo kwa Wazazi watarajiwa wa baadaye.

Pambaneni watoto wenu wasome huko.
Ndio watu husema usiseme hatuna hela sema sina hela

Mfano ada ya mwaka ya International School of.Tanganyika vidudu kwa mwaka ni shilingi milioni 43,chekechea milioni 62 kwa mwaka ,Msingi milionin72 kwa Mwaka angalia jedwali la ada hapo chini

Annual Tuition Fees (2023-2024 S.Y)​

GradesTanzanian Shillings (Millions)USD($)
Early Childhood 1-242.5916,700
Kindergarten - Grade 562.2224,400
Grade 6 - 872.4228,400
Grade 9 - 1076.7630,100
Grade 11 & 12 (IBDP 1&2)88.2334,600
*Subject to change depending on exchange rate. Current
 
Hivi hakuna wanaosoma havard kupitia huu mtaala wa necta? Nauliiza tu Ila pia kila mtu anaenda anapoweza kikubwa usifanye kutaka sifa ama tukufahamu na tukupe heshima unasomesha Shule za gharama.
Ameshindwa kusomesha ist Ada huko Ni 90M kwa mwaka. Huko USA zipo mpaka za 150M kwa mwaka. Bado Naona amepeleka pa Bei rahisi mno ambalo hata mwalimu anaweza somesha mwanae
 
Watu mna makasiriko na wivu. Si kitu cha kushangaa, tabia za watanzania.

Kubalini ukweli uwaweke huru. Hizo ndio shule. Hizi za wana kwetu ni mataputapu matupu. Inakua ni kama sandakalawe mafanikio ya mtoto. Hizo shule kwanza mtoto hata akiwa kilaza kichwa chake atabadilishwa na kuwa vizuri. Hawezi kuwa sawa na kilaza wa shule zetu za Necta type.

Necta type ni uharo.
 
Ndio watu husema usiseme hatuna hela sema sina hela

Mfano ada ya mwaka ya International School of.Tanganyika vidudu kwa mwaka ni shilingi milioni 43,chekechea milioni 62 kwa mwaka ,Msingi milionin72 kwa Mwaka angalia jedwali la ada hapo chini

Annual Tuition Fees (2023-2024 S.Y)​

GradesTanzanian Shillings (Millions)USD($)
Early Childhood 1-242.5916,700
Kindergarten - Grade 562.2224,400
Grade 6 - 872.4228,400
Grade 9 - 1076.7630,100
Grade 11 & 12 (IBDP 1&2)88.2334,600
*Subject to change depending on exchange rate. Current
Mwenyewe nilijaribu wanangu niwapeleke Feza schools kutwa ada shilingi 8,500,000 kwa mwaka.

Hapo bado michango ya shule n.k.

Kwa watoto watatu nimeshindwa, nimeambulia shule za ada shilingi 4,000,000 kwa Mwaka.

Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Jikune Mkono unapofikia"
 
Back
Top Bottom