Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mleta mada ndiye shogaso kauli za kishoga hizo.
Yupo AtlasKwa nongwa inayoendelea,
Itaniuma sana wa mobeto akisomeshwa kayumba[emoji29]
Hiyo hela ya milioni 20 hapewi mkononi ni ada yake anayoshika mkononi ni hiyo milioni tano akiajiriwa ataiona kubwa sababu hajawahi shikaUnasomesha mtoto shule ya 20mil kwa mwaka kwa miaka 24 anakuja kuajiriwa kazi ya mshahara wa 5mil nonsence
Tafuta pesa... ukijipima kwenye hiko ki ajira hiyo ada ni mishahara mingapi kwako? 😂😂😂😂😂
Ndio watu husema usiseme hatuna hela sema sina helaHili liwe somo kwa Wazazi watarajiwa wa baadaye.
Pambaneni watoto wenu wasome huko.
🤣🤣🤣Hawa ndio wanasoma wengine tulienda kukua tuje tubebe tofar hapa saiti muda huu jua kal bos hatak mvua anaombea jua lizid kuwa kali sana na sana
Shule miaka 24 😳😄Unasomesha mtoto shule ya 20mil kwa mwaka kwa miaka 24 anakuja kuajiriwa kazi ya mshahara wa 5mil nonsence
Nii wapi panaonyesha hizo shule.wanasoma miaka 24?Unasomesha mtoto shule ya 20mil kwa mwaka kwa miaka 24 anakuja kuajiriwa kazi ya mshahara wa 5mil nonsence
Mwenyewe nilijaribu wanangu niwapeleke Feza schools kutwa ada shilingi 8,500,000 kwa mwaka.Ndio watu husema usiseme hatuna hela sema sina hela
Mfano ada ya mwaka ya International School of.Tanganyika vidudu kwa mwaka ni shilingi milioni 43,chekechea milioni 62 kwa mwaka ,Msingi milionin72 kwa Mwaka angalia jedwali la ada hapo chini
Annual Tuition Fees (2023-2024 S.Y)
Grades Tanzanian Shillings (Millions) USD($) Early Childhood 1-2 42.59 16,700 Kindergarten - Grade 5 62.22 24,400 Grade 6 - 8 72.42 28,400 Grade 9 - 10 76.76 30,100 Grade 11 & 12 (IBDP 1&2) 88.23 34,600 *Subject to change depending on exchange rate. Current
Uko sahihi hongera hata hivyo umejitahidiMwenyewe nilijaribu wanangu niwapeleke Feza schools kutwa ada shilingi 8,500,000 kwa mwaka.
Hapo bado michango ya shule n.k.
Kwa watoto watatu nimeshindwa, nimeambulia shule za ada shilingi 4,000,000 kwa Mwaka.
Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Jikune Mkono unapofikia"
Sahihi tena sana tuPesa ndo ufunguo wa maisha
Hii ni kamba kudu kabisa bloangu,🤣🤣🤣🤣Si angalau hata wewe umesoma English medium.
Mi ilifika hatua nyumban hamna taa nikawa nasoma kwa hisia kwa kupapasa daftari huku nimefunga macho