Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Mil 20 kwa Mwaka si pesa ndefu kwa huyo Jamaa, ila kwa Mimi kapuku.. aisee huo ni mkopo wa miaka 8 nakatwa kila mwezi mpk hela ya watu irudi..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndio wanasoma wengine tulienda kukua tuje tubebe tofar hapa saiti muda huu jua kal bos hatak mvua anaombea jua lizid kuwa kali sana na sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo sisi tunaosomesha watoto wetu Feza inamaa ni chenga...?
 
Bora hata wee umepeleka huko, wengine wanapeleka kwenye kidumu na ufagio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kikwete wakati fulani alikuwa ktk shule moja huko moshi International na kijana wake au mjukuu...
 
Nilikua nafanya mazoezi pale IST ,aisee yale mazingira ni km uko hotel ya nyota tano
 
Hakuna Mwalimu mwenye uwezo wa kusomesha mtoto wake kwenye hiyo shule acha uongo mkuu na IST ada Yao ni Milioni 43 kwa mtoto wa chekechea tu.
 
Sasa tukishauri shule zote zifundishe Kiswahili na Kingereza mnatoa vijimaneno. Kwanini msiulize kwanini Diamond hampeleki mtoto shule za kata? Yeye si ana unga juhudi?
Ni sawa na makonda. Anapaki VX mahali kisha anapanda lori ili wananchi wanyonge waone ni mwenzao.
Wanasiasa wanajenga shule ila watoto wao hawaendi kusoma huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…