Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Alafu baadaye umezeeka unamwambia mtoto akupeleke checkup India anakwambia hana helaUko sahihi hongera hata hivyo umejitahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu baadaye umezeeka unamwambia mtoto akupeleke checkup India anakwambia hana helaUko sahihi hongera hata hivyo umejitahidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mil 20 kwa Mwaka si pesa ndefu kwa huyo Jamaa, ila kwa Mimi kapuku.. aisee huo ni mkopo wa miaka 8 nakatwa kila mwezi mpk hela ya watu irudi..[emoji1787]
Hao huwakuti UDSM au UDOM, labda Kairuki kidogooacha waangaike tu akifika levo ya chuo atakutana na wenzie udsm au udom kwenye kunguni kule...
Feza inafata mfumo wa Necta, ni kama saint marry iliyochangamkaKati ya breburn na feza school ipi. IPO juu
Sema kweliii.Kama bado uko singo, pambana utoke hiyo nchi, ukaanze maisha na family yako US au Europe
Shule watakazo soma hata zile za uswahilini bado ni zaidi ya hiyo....na ni bure.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wanasoma wengine tulienda kukua tuje tubebe tofar hapa saiti muda huu jua kal bos hatak mvua anaombea jua lizid kuwa kali sana na sana
Kwahiyo sisi tunaosomesha watoto wetu Feza inamaa ni chenga...?View attachment 2812618
View attachment 2812721
Achana na hizi shule za hapa bongo zilizojipachika majina ya international kimagumashi, Shule international haiwezi kufuata mtaala wa Necta hata kama ni Feza boys.
International school zinazofuata mitaala ya kimataifa kama cambridge, Mwanafunzi anaweza kuhama Marekani leo hii na kesho akifika Tanzanja anaendelea na masomo ya jana kama kawaida.
Ni maalum zaidi kwa watoto wa mabalozi na watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya kimataifa wanaohama hama nchi, ada za watoto wa mabalozi zinalipiwa na serikali zao, wale wa mashirika ada zinalipwa na mashirika yao.
Ada ya hizi shule ni ndefu sana endapo ukitaka kumsomesha mtoto wako kwa pesa zako mwenyewe, hapa waliozoeleka kusomesha ni wafanyabiashara na wanasiasa wenye pesa zao na exposure (unaweza kuwa na pesa ila kama huna exposure ama kuzungukwa na watu wenye exposure utaishia kusomesha shule za Necta)
International schools ni levels nyingine, hata marekani wana shule zao za serikali na private kama huku kwetu lakini hazifikii international.
Ada ya mwaka kwa chekechea ni dola 8,395, kwa pesa za kitanzania ukizidisha kwa shilingi 2,500 ni takribani shilingi milioni 21.
Faida za kusomesha shule za international:
- Mtoto anapata exposure ya kuishi na watu wa mataifa mbali mbali, shuleni kuna waarabu, wahindi, wachina, wabrazil, wanaijeria, n.k.
- Darasa moja halizidi wanafunzi 20
- Mtoto anafundishwa kuongea lugha za kimataifa kama kiingereza, kifaransa na spanish kwa ufasaha, kama ni yai wanatema lile original (hata Wema Sepetu pamoja na utukutu wake yai analicharaza), asikudanganye mtu hizi shule za english medium tumezisoma ila tulichoambulia ni kuweza kuandika na kusoma kiingereza kwa level ya kawaida sana, kwenye kuzungumza tunapata sana taabu kwa hizi lafudhi za kibantu (ze boi, ze geli, do zis) na ndio maana mzungu wa Marekani au Uingereza akiongea wengi hawaelewi inakuwa ni kuotea tu baadhi ya maneno
- Mtoto ana chance kubwa ya kuja kusoma vyuo bora duniani kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k.
- kusafiri nje ya nchi kwajili ya trips.
- watoto wanapata connections za watoto wenzao wazito, huwa zinawasaidoa sana hasa wakianza maisha ya kujitegemea, sehemu ambayo mtu unaweza kuchukua mwaka kuingia wao ni suala la kupiga simu tu.
- Mtoto anapata moto mkali vibaya mno akisoma hizo shule hawezi kuridhika anavyoitwa wa kishua na rafiki zake wa kibongo, anaingia rasmi kwenye tabaka la malengo ya kuingiza walau milioni 20 kwa mwezi ili aweze kuja kuendana na wenzake, sio kuwaza mishahara ya milioni 3
- Kibiashara ni shule zinazoweza kukuza biashra za familia, Kama baba ni tajiri wa mashamba ya maparachi anayouza kwa wakenya basi mtoto kwa connections na exposure anaweza kupata masoko ya ulaya moja kwa moja na hata kuanzisha kiwanda cha bidhaa, kusoma hizi shule ni sawa na mtu alieishi sana Dar anaenda kijijini anaweza kuona fursa kibao.
- kwenye kuanzisha biashara kwa wale wasio na biashara za familia zinawasadia, wana uwezekano mkubwa wa kupata wadhamini / grants hasa katika nchi zetu hizi masikini, wana connections za wenzao wa mashirika ya kimataifa na wana exposure, Mfano ni Benjamin Fenandes app yake ni ya kawaida tu lakini imejipatia misaada ya pesa ndefu sana, na hivi sasa kaihamishia huko Kenya, connections na kuwa na exposure ya kuishi nchi zingine kunasaidia.
- Ajira zenye maokoto marefu, kwa wale wataoamua kufanya ajira mara nyingi hufanya kazi mashirika ya kimataifa kama UN, AU, EAC, Google, Microsoft, n.k. exposure wanayopata, kuzicharaza lugha za kimataifa na connections walizonazo zinawabeba.
Pambana!
Bora hata wee umepeleka huko, wengine wanapeleka kwenye kidumu na ufagio.Mwenyewe nilijaribu wanangu niwapeleke Feza schools kutwa ada shilingi 8,500,000 kwa mwaka.
Hapo bado michango ya shule n.k.
Kwa watoto watatu nimeshindwa, nimeambulia shule za ada shilingi 4,000,000 kwa Mwaka.
Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Jikune Mkono unapofikia"
Kikwete wakati fulani alikuwa ktk shule moja huko moshi International na kijana wake au mjukuu...Uzi na kilichozungumzwa ni vitu viwili tofauti.
Unapoizungumzia "Elimu ni ufunguo wa maisha" sio lazima iwe ya International school... huenda Point yako ulitaka kutuhabarisha kwamba mtoto wa bwana Diamond anasoma Braeburn, sasa sijui tukuchinjie mbuzi au tukupigie makofi. Unajua mwenyewe
Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"
Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.
Nilikua nafanya mazoezi pale IST ,aisee yale mazingira ni km uko hotel ya nyota tanoView attachment 2812618
View attachment 2812721
Achana na hizi shule za hapa bongo zilizojipachika majina ya international kimagumashi, Shule international haiwezi kufuata mtaala wa Necta hata kama ni Feza boys.
International school zinazofuata mitaala ya kimataifa kama cambridge, Mwanafunzi anaweza kuhama Marekani leo hii na kesho akifika Tanzanja anaendelea na masomo ya jana kama kawaida.
Ni maalum zaidi kwa watoto wa mabalozi na watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya kimataifa wanaohama hama nchi, ada za watoto wa mabalozi zinalipiwa na serikali zao, wale wa mashirika ada zinalipwa na mashirika yao.
Ada ya hizi shule ni ndefu sana endapo ukitaka kumsomesha mtoto wako kwa pesa zako mwenyewe, hapa waliozoeleka kusomesha ni wafanyabiashara na wanasiasa wenye pesa zao na exposure (unaweza kuwa na pesa ila kama huna exposure ama kuzungukwa na watu wenye exposure utaishia kusomesha shule za Necta)
International schools ni levels nyingine, hata marekani wana shule zao za serikali na private kama huku kwetu lakini hazifikii international.
Ada ya mwaka kwa chekechea ni dola 8,395, kwa pesa za kitanzania ukizidisha kwa shilingi 2,500 ni takribani shilingi milioni 21.
Faida za kusomesha shule za international:
- Mtoto anapata exposure ya kuishi na watu wa mataifa mbali mbali, shuleni kuna waarabu, wahindi, wachina, wabrazil, wanaijeria, n.k.
- Darasa moja halizidi wanafunzi 20
- Mtoto anafundishwa kuongea lugha za kimataifa kama kiingereza, kifaransa na spanish kwa ufasaha, kama ni yai wanatema lile original (hata Wema Sepetu pamoja na utukutu wake yai analicharaza), asikudanganye mtu hizi shule za english medium tumezisoma ila tulichoambulia ni kuweza kuandika na kusoma kiingereza kwa level ya kawaida sana, kwenye kuzungumza tunapata sana taabu kwa hizi lafudhi za kibantu (ze boi, ze geli, do zis) na ndio maana mzungu wa Marekani au Uingereza akiongea wengi hawaelewi inakuwa ni kuotea tu baadhi ya maneno
- Mtoto ana chance kubwa ya kuja kusoma vyuo bora duniani kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k.
- kusafiri nje ya nchi kwajili ya trips.
- watoto wanapata connections za watoto wenzao wazito, huwa zinawasaidoa sana hasa wakianza maisha ya kujitegemea, sehemu ambayo mtu unaweza kuchukua mwaka kuingia wao ni suala la kupiga simu tu.
- Mtoto anapata moto mkali vibaya mno akisoma hizo shule hawezi kuridhika anavyoitwa wa kishua na rafiki zake wa kibongo, anaingia rasmi kwenye tabaka la malengo ya kuingiza walau milioni 20 kwa mwezi ili aweze kuja kuendana na wenzake, sio kuwaza mishahara ya milioni 3
- Kibiashara ni shule zinazoweza kukuza biashra za familia, Kama baba ni tajiri wa mashamba ya maparachi anayouza kwa wakenya basi mtoto kwa connections na exposure anaweza kupata masoko ya ulaya moja kwa moja na hata kuanzisha kiwanda cha bidhaa, kusoma hizi shule ni sawa na mtu alieishi sana Dar anaenda kijijini anaweza kuona fursa kibao.
- kwenye kuanzisha biashara kwa wale wasio na biashara za familia zinawasadia, wana uwezekano mkubwa wa kupata wadhamini / grants hasa katika nchi zetu hizi masikini, wana connections za wenzao wa mashirika ya kimataifa na wana exposure, Mfano ni Benjamin Fenandes app yake ni ya kawaida tu lakini imejipatia misaada ya pesa ndefu sana, na hivi sasa kaihamishia huko Kenya, connections na kuwa na exposure ya kuishi nchi zingine kunasaidia.
- Ajira zenye maokoto marefu, kwa wale wataoamua kufanya ajira mara nyingi hufanya kazi mashirika ya kimataifa kama UN, AU, EAC, Google, Microsoft, n.k. exposure wanayopata, kuzicharaza lugha za kimataifa na connections walizonazo zinawabeba.
Nimecheka had watu wananishangaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Feza inafata mfumo wa Necta, ni kama saint marry iliyochanhamka
Mie atlas tu pale ,kichwa inawaka motoMwenyewe nilijaribu wanangu niwapeleke Feza schools kutwa ada shilingi 8,500,000 kwa mwaka.
Hapo bado michango ya shule n.k.
Kwa watoto watatu nimeshindwa, nimeambulia shule za ada shilingi 4,000,000 kwa Mwaka.
Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Jikune Mkono unapofikia"
Hakuna Mwalimu mwenye uwezo wa kusomesha mtoto wake kwenye hiyo shule acha uongo mkuu na IST ada Yao ni Milioni 43 kwa mtoto wa chekechea tu.Hivi hakuna wanaosoma havard kupitia huu mtaala wa necta? Nauliiza tu Ila pia kila mtu anaenda anapoweza kikubwa usifanye kutaka sifa ama tukufahamu na tukupe heshima unasomesha Shule za gharama.
Ameshindwa kusomesha ist Ada huko Ni 90M kwa mwaka. Huko USA zipo mpaka za 150M kwa mwaka. Bado Naona amepeleka pa Bei rahisi mno ambalo hata mwalimu anaweza somesha mwanae
Unapaswa ufahamu kuwa Feza hiyohiyo unayoijua wewe Kuna upande wa pili wanafata mtaala wa Cambridge na ada zao huwa ndefu pia.Feza inafata mfumo wa Necta, ni kama saint marry iliyochanhamka
...hadi rahaTypo hayo hayo maeneo, mtoto mwemyewe wa mchepuko, watoto wake ni wakubwa wako nje
HahahahaHakuna Mwalimu mwenye uwezo wa kusomesha mtoto wake kwenye hiyo shule acha uongo mkuu na IST ada Yao ni Milioni 43 kwa mtoto wa chekechea tu.
Ni sawa na makonda. Anapaki VX mahali kisha anapanda lori ili wananchi wanyonge waone ni mwenzao.Sasa tukishauri shule zote zifundishe Kiswahili na Kingereza mnatoa vijimaneno. Kwanini msiulize kwanini Diamond hampeleki mtoto shule za kata? Yeye si ana unga juhudi?