Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Benjamin Fernandez yule aliyeanzisha NALA alumnis wa IST na Havard University
 


Urais haswa wa nchi za kiafrika ni Lazima uwe na Tabia fulan za kitapeli tapeli na uongo ili uupate,

Hao watoto wanaosoma hizo shule wanafundishwa Maadili na Nidhamu kwahiyo hivyo vijitabia vya utapeli tapeli wanakuwa hawana.
 
Kama mpaka umri uliofikia hujui kutofautisha achievement ya nchi kutokana na sera ya uongozi fulani kwa wakati husika una hasara kubwa!

Kama una elimu yako ya kuungaunga kachome vyeti ukauze viazi mviringo na ndizi mzuzu soko la mabibo.
Naomba kufahamu unajishugulisha na nn? Unafanya kazi gn?

Naona una dharau wauza ndizi na viazi!!

Ngoja nikwambie kijana usidharau watu usiowqfahamu, mabibo kuna watu wana pesa wanauza viaz na ndizi watu wana maisha yao kuliko ww. Nakupa Pole sana kwa kutolitambua hili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiii.
 
Tutafute pesa kwa kweli mi nililipa laki sita tu ya ada na laki na ishirini ya usafiri kidogo kichwa kipasuke kama bisi.Njia nzima najishauri tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: EEX
Mmhhhh
 
Bado umepambana Sana kaka hata hvyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…