Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Watoto wanaosoma hizo shule kama IST ni wa wafanyabiashara wakubwa hawana njaa za kuingia kwenye msoto wa siasa mpaka watoboe.

Tayari pesa wamezikuta nyumbani wanaenda kusoma kuja kuendeleza biashara za familia.

Mfano ni Mohammed Dewji ni alumnus wa IST
Benjamin Fernandez yule aliyeanzisha NALA alumnis wa IST na Havard University
 
Uzi na kilichozungumzwa ni vitu viwili tofauti.

Unapoizungumzia "Elimu ni ufunguo wa maisha" sio lazima iwe ya International school... huenda Point yako ulitaka kutuhabarisha kwamba mtoto wa bwana Diamond anasoma Braeburn, sasa sijui tukuchinjie mbuzi au tukupigie makofi. Unajua mwenyewe

Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"

Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.


Urais haswa wa nchi za kiafrika ni Lazima uwe na Tabia fulan za kitapeli tapeli na uongo ili uupate,

Hao watoto wanaosoma hizo shule wanafundishwa Maadili na Nidhamu kwahiyo hivyo vijitabia vya utapeli tapeli wanakuwa hawana.
 
Kama mpaka umri uliofikia hujui kutofautisha achievement ya nchi kutokana na sera ya uongozi fulani kwa wakati husika una hasara kubwa!

Kama una elimu yako ya kuungaunga kachome vyeti ukauze viazi mviringo na ndizi mzuzu soko la mabibo.
Naomba kufahamu unajishugulisha na nn? Unafanya kazi gn?

Naona una dharau wauza ndizi na viazi!!

Ngoja nikwambie kijana usidharau watu usiowqfahamu, mabibo kuna watu wana pesa wanauza viaz na ndizi watu wana maisha yao kuliko ww. Nakupa Pole sana kwa kutolitambua hili.
 
Yaani, we acha tu...[emoji23]
Hata kama ukipata viza ya kusoma UK, unaweza kuleta familia yako na watasoma bure
Wahindi wanapambana hasa kwenda Europe kwa dhumuni moja tu, kusomesha watoto wao.
Wafanyakazi wa balozi za bongo, huwa wanasomba mpaka vitukuu, lakini wakitumbuliwa ndio mwisho wake[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariiii.
 
Tutafute pesa kwa kweli mi nililipa laki sita tu ya ada na laki na ishirini ya usafiri kidogo kichwa kipasuke kama bisi.Njia nzima najishauri tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hivi hakuna wanaosoma havard kupitia huu mtaala wa necta? Nauliiza tu Ila pia kila mtu anaenda anapoweza kikubwa usifanye kutaka sifa ama tukufahamu na tukupe heshima unasomesha Shule za gharama.
Ameshindwa kusomesha ist Ada huko Ni 90M kwa mwaka. Huko USA zipo mpaka za 150M kwa mwaka. Bado Naona amepeleka pa Bei rahisi mno ambalo hata mwalimu anaweza somesha mwanae
Mmhhhh
 
Back
Top Bottom