Elimu Tanga Kunani?


Mkuu I find it difficult kuamini yaani wameomb waletewe Mzee Yusuf wa taarabu!?? Basi kuna tatizo kubwa zaidi ya tufikiriavyo
 
Je mkoa huu unaweza kutupa kiongozi bora wa nafasi ya juu kabisa katika nchi???
Yule kijana mtangaza nia kutoka Tanga matokeo haya yanamuweka kundi gani???
Hawa wakwe hawa

Tanga ni kwetu sishangai kwa matokeo haya. Ndo matokeo ya kuipitisha CCM bila kupingwa ktk uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana. Wao challenges huwa hawapendi kuzi face. Kwao ni life as usual, yaani kilichopo ndo Mungu katupa. Hakuna kuhangaisha akili. Pale kijijini kwangu ukiwambia kuhusu vyama vya upinzani hawaelewi kabisa. Na maisha ukitaka mafanikio lazima ukumbane na changamoto. Hawataki hilo. NDO tatizo kuu la wagosi (reference ni kwa kijiji nilichotoka)
 

Hapo nakubali kabisa, lakini kama zinasababisha/contributing substantially to that negative effect, then let us attach those tamaduni to negative effects. Ukiona comments za hii post wengi wana associate tamaduni za watu wetu na kutojali elimu sana! This is differwent from Kagera, Kilimanjaro, Mbeya and other regions! Mimi naishi hapa tena ndani kabisa naona! Unaweza kuwa unaishi Tanga lakini Raskazone ambako huwezi jua yanayotokea tuliko sisi Babu DC
 
Unaweza kutupa takwimu (for the past 5 yrs) kuthibitisha hayo?

Casual observations zinaonyesha hivyo, siyo lazima researched data! Ni kama kwa wamasai, watoto wanaachishwa shule kuchunga mifugo inachangia sana watoto kufanya vibaya!
 


Mkuu. Mkoa wa Tanga (nadhani mikoa ya pwani kiujumla excluding Dar es Salaam, but including kisiwa cha Pemba) unahitaji uhamasishaji kuhusu elimu kwani FACTs zinasema kuna tatizo.

Kwa haraka haraka tu. Ukiangalia takwimu* za matokeo ya kidato cha nne kati ya mwaka 2010 hadi 2012, inaonyesha hali ni mbaya sana mkoa wa Tanga. Kati ya mwaka 2010 hadi 2012, asilimia 66% (wastani) ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne walipata division 0 kila mwaka. Yaani, wanafunzi 13705 (mwaka 2010), 13742 (mwaka 2011), na 17474 (mwaka 2012) walifeli mtihani wa taifa, na idadi yao kati ya watihaniwa wote ilikuwa 61%, 62%, na 76% respectively. In fact, ukijumlisha wale waliopata Divisheni 4 (ambayo kwa maoni yangu nao hawakufaulu kwa viwango vya kimataifa), idadi inakuwa, kwa miaka ya 2010, 2011, na 2012 asilimia 85%, 85% na 95% ya wanafunzi wote wa mkoa wa Tanga 'walifeli' kidato cha nne. (*Takwimu zimetolewa katika ripoti ya maendeleo ya mkoa wa Tanga)



Pia kwa kutolea mfano mwaka 2012. Inaonekana mkoa wa Tanga ulikuwa na idadi nyingi ya shule zilizofanya vibaya zaidi katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne. (Kwa maoni yangu mikoa ya pwani kiujumla inawaangusha wanafunzi wake).



Nadhani kuna haja wa serikali kuweka 'marshall plan' kwa ajili ya elimu ya mikoa ya pwani, la sivyo tutakuwa na tatizo kubwa sana huko mbeleni. Haya matatizo ya uhalifu tuliyosikia jana huko Tanga, yanaweza shamiri zaidi tusipotatua tatizo la elimu katika hiyo mikoa.
 
epigenetics

Asante, hakuna mwenye chuki na Tanga. Wengine tuko Tanga ni kwetu lakini kuna tatizo lishughulikiwe! Hata kijijini kwangu somewhere in Bukoba, kama trend ni hii miaka 10 ijayo hatutakuwa na wasomi kama ilivyo sasa maana ni div 4 and zero
 
Last edited by a moderator:
epigenetics

Haya ndiyo mambo ambayo nilitegemea kuona wachangiaji wakileta jukwaani badala ya kumwaga matusi na kashfa.

Ila kitu kinachoonekana ni kwamba tatizo liko kwenye mikoa ya pwani na siyo issue ya Tanga peke yake. Kama uchambuzi ukifanyika vizuri basi naamni jambo litakalohitajika ni kuilazimisha serikali iweke mkakati wa kusaidia elimu katika mikoa ya pwani na baadhi ya mikoa mingine ya bara.

Bahati mbaya hii mikoa yote ndiyo ngome ya CCM. Nasikitika kwamba hili halipewi central place kwenye mjadala!
 
Last edited by a moderator:

Unaweza kutoa uthibitisho kwa takwimu? Au ni mwendelezo wa hadithi za toka enzi za BCU??
 
mshana jr;

tatizo wapuuzi wanaangalia mabaya machache kuliko mazuri lukuki.shule bora nyingi ziko tanga kama hujui tanga hebu funga safari ukaione kuliko properganda
 
Last edited by a moderator:
Baada ya matokeo ya kidato cha Nne kutangazwa, Mkoa wa Tanga umefanikiwa kuwa na shule mbili. Kwenye shule mia zilizofa nya vizuri.

Na pia imetoa shule 23 kwenye shule mia moja bora za mwisho

TAnga itakua imetoa idadi kubwa ya shule zilizofanya vibaya.

Tanga kunani huko........


Majina ya shule haya hapaa


Manolo
Kwaluguru
Mashindei
Mnazi
Magoma
Umba
Mgwashi
Mayo day
Chumbageni
Msambweni
Vugiri
Misima
Mahezangulu Makamba
Mazingara
Kihere
Kizimba
Mnyuzi
Ngombezi
Old korogwe
Mkulumuzi
Kwendimu
NGuvumali
Japan


Shule zilizofanya vizuri na kuingia kwenye shule 100 zilizo fanya vizuri ni ROsmini na Kifungilo girls.
 
SPY_genuine,

Ndo sababu CCM hushinda na kupendwa zaidi, maana wajinga niwengi kama ilivyo Tabora na Singida.
 
Last edited by a moderator:
SPY_genuine,

Shule mbili una maana ya Mazinde na Kifungilo kama sijakosea. Hizo nyingine wamafeli kutokana na wanafunzi kushindwa kusoma kwa hofu ya ugaidi kama mlivyojionea wiki hii.

Joking
 
Last edited by a moderator:
Utasikia tanga mtaji mzuri kwa ushindi wa CCM

Huo ujinga wa mikowa ya wajinga kuishupalia CCM

Wakinyanyaswa nakuchimbiwa makaburi ya watoto wao.
 
Lakn tanga c ndo mapenzi yalikozaliwa? eenyi viijanaa sikilizenii mnapookuwaa masoomoni, acheni mcheezoo wa mapenzii, mnawaapaa uchungu wazaazi wenuu. yaani huo wimbo wa zamani sana na naupenda kwelikweli!
 

Penye miti hakuna wajenzi. Tanga kuna taasisi za elimu zenye nguvu. Kwa bahati mbaya, wenyeji hawasomi. Watoto wa vigogo wanasoma huko, kwa Mwaasha wa Mkuu wa Kaya. Pia kuna jamaa yangu anafanya huko kazi amethibitisha hilo.
Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa anaishi Lushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…