Elimu ya anga, Sayansi na Teknolojia

Elimu ya anga, Sayansi na Teknolojia

THE SPIRIT THINKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2019
Posts
419
Reaction score
652
NASA KUWAPELEKEA WANAANGA MAHITAJI MBALIMBALI HUKO ISS

Nasa wameichagua tena kampuni ya space x kuweza kuwapelekea wanaanga mahitaji yao mbalimbali huko kwenye kituo cha uchunguzi wa anga iss kati ya Tarehe 21-24 mwezi huu desemba

Mahitaji hayo ni kama nguo , vyakula na maji pia bila ya kusahau mahitaji ya madawa na vifaa vya huduma ya kwanza na vifaa vya kifanyia experiment mbalimbali za kisayansi ambazo zitawawezesha kufanya chunguzi mbalimbali za kisayansi za anga za mbali kituoni humo

Rocket ya Falcon 9 na Capsule yake ya Crew dragon ndio itakayopakia mzigo hiyo na kuwa tayari kwa safari muda wowote watakapo amua kuweza kuondoka

Chombo kitaongozwa kutokea huku duniani kwakuwa chombo hicho hakitaweza kubeba binadamu yeyote yule only mizigo tu

Angalia unyama sasa wa Elon Musk 🔥🔥 Tunatumia ile Booster tulioitumia kupelekea Dart Mission nadhani unaikumbuka unyama zaidi hata hatujataka kuipaka tena rangi yaani na rangi yake ile ile iliyoungua musk ni mtu mbad sana 🔥🔥🔥

Kaona kuipulizia rangi tena ni upotezaji wa pesa

FB_IMG_1640043018113.jpg
 
CHOMBO YAKUPELEKA MAHITAJI INAONDOKA KESHO MCHANA

FALCON 9🇺🇸 IKO TAYARI KWA SAFARI KUELEKEA KWENYE KITUO CHA ANGA ISS 🛰️

Mapema kesho mchana kwa saaa za afrika ya mashariki chuma ya Falcon 9 itaondoka moja kwa moja kwenye safari yake ya kuelekea huko katika kituo cha kimataifa cha anga iss ili kuwasilisha mahitaji mbalimbali kwa wanaanga wanaoishi kwenye kituo hicho

Takribani kilo 3,000⌛ za vifaa mbalimbali zilizokuwa ndani ya chombo cha dragon zitawasilishwa kama ilivyopangwa mahitaji yaliyomo yatasaidia kufanya uchunguzi za ni kwa vipi mgonjwa wa Canser ataweza kupata nafuu kwa haraka kama ataweza kupata majeraha sehemu yeyote ile ya mwili kwa kutumia system waliyoiunda inayojulikana kama Protein crystal growth nadhani hii ni moja ya project wanayoifanya huko kwenye kwenye eneo ilililokuwa na nguvu ndogo ya uvutano

Mahitaji mengineyo ni kama Chakula , Maji , Madawa na vifaa mbalimbali vya kufanyia chunguzi mbalimbali za kisayansi

Chombo linategemewa kutumia takribani masaa 22 njiani yaani kwa haraka haraka kitawasili Jumatano na kitakaa kwa mwezi 1 na kupakia kazi za kichunguzi zilizokamilika nankuzirudisha duniani bila ya kusahau mahitaji mengine yasiyohitajika ya wanaanga .

Kesho Mchana mida ya Saa 1:06 pm chuma itanyanyuka 🔥🔥🔥🔥🔥

By:Moudy Swema
 
By:Moudy Swema mwana

FB_IMG_1640043145988.jpg
 
OUMUAMUA KITU CHA AJABU KILICHOONEKANA ANGA ZA MBALI

Ilikuwa 19-10-2017 mwanaanga aitwae Robert Weryk akiwa Hawaii kwa kutumia darubini inayoitwa Pan STARRS alishangaa kuona kitu kinatoka nje ya solar system yetu

Habari hii ilienea kwenye vyombo vingi vya habari kama BBC, CNN na Aljazeera, na ilikuw habari ya kushtua kwa kuwa haijawah tokea kitu kutoka nje kuja kututembelea(interstellar object

OUMUAMUA ni exocomet(kitu kitoka nje ya solar system yetu, kikimbia kwa speed kubwa sana 94,800km/h. Upana wake unakadiriwa kati ya mita 35 had 100 na urefu mita 100 hadi 1000 na rangi yake ilikuwa nyekundu

Kitu hicho ambacho wanasayansi wanadhani ni exocomet au terrestrial object maanake kagimba kutoka nje ya solar system kilidumu kwa siku 80 kabla ya kurudi kilikotoka huku kikipita umbali ya kilometer million 33 kutoka hapa duniani. Hadi sasa wanasayansi hawajapata jibu sahihi la OUMUAMUA kwamba baadhi wanaamini ni chombo cha ALIENS ambacho kilikuja kutuchunguza na kisha kurejea kilikotoka na wengine wanadhani ni gimba tu kama magimba mengine, lakini iweje liingie kiwepesi hivyo kwetu na kurudi litokako

Oumuamua imeongeza chachu ya tafiti za anga za mbali na kuongeza dhana ya kwamba huenda Aliens wenye akili kubwa wapo ndani ya Milky Way na wanavyombo ambavyo ni bora zaidi yetu na hivyo wanambinu ya kuja kutalii na kuondoka pasipo kuacha ushahidi wowote.

Picha za chini hapo moja inaonesha njia iliyopita, na nyingine ni muonekano wake, ikicheki vizuri ni kama ndege flani hivi, picha zangu hazina viwango badala yake nenda Google ukitaka kuziona vizuri zaid

FB_IMG_1640092874401.jpg

FB_IMG_1640092885082.jpg

FB_IMG_1640092894445.jpg
 
DUNIA IMESHAENDA MBALI KABISA NA JUA ( DECEMBER SOLSTICE )

TUSEME INAELEKEA KUMALIZA MZUNGUKO WAKE

Kwa wale walio katika upande wa Northern Hemisphere wataanza kupata Jua kwa muda mfupi kabisa na kusababisha siku kuwa fupi sana katika maeneo yao mfano nchi kama Norway nk kwa kipindi kirefu watakuwa wanaexperience siku yenye kigiza fulani hivi tofauti na nchi zetu nyingi za kiafrika ambazo tumezoea kupata siku yenye masaa 12

Leo December 12 yale majira ya winter ndio yanaanza kuingia yaani tunaweza kuita Winter solstice ambapo kuna baadhi ya maeneo kutakuwa na mabadiliko ya hali ya hewa kutoka kwenye yale waliyoyapitia zamani na kuja mapya nadhani hata nchini kwetu tutapitia katika kipindi chengine cha mazingira ya hali ya hewa baada ya kutoka katika kipindi cha Jua la Utosi

Kuanzia Leo siku zitaanza kuwa Ndefu au Fupi katika maeneo mbalimbali ya Duniani Kwetu hili unaweza ukalithibitisha maeneo ya Dar es salaam kipindi kichache cha Nyuma usiku ulikuwa unaingia mapema sana ila kwa siku hizi tatu tunaweza kukaribia saa 1 usiku ila bado kweupe kabisa au Hata fuatilia magharibi yanavyoingia hata misikitini wameanza kuswali magharibi 6:40 wakati muda wanyuma walikuwa wakiswali 6:20

Mwandishi : Moudy Swema

FB_IMG_1640112049894.jpg
 
According to Newton law of gravity inasema " object kubwa na yenye mass kubwa huzungukwa na object ndogo huko kwenye spacetime "

Kwa kuchukulia kanuni hiyo ni lazima Jua lizungukwe kwasababu lenyewe ndio limechukuwa mass kubwa katika mfumo wa jua
 
MUNGU NI NGUVU TENDESHI

Maelezo na Cekam Cekam's

Mungu ni nguvu tendeshi,
Kama zilivyo nguvu nyingi inaweza kubadilika mara kwa mara jiinsi unavyoitaka ifanye (Law of Manifestation and attraction)

Dark energy ni nguvu ya nature, iliyobadilika na kuwa matter (Normal matter) na hii Energy ndio inayoongoza universe,

Kiasi kidogo kulibadilika kuwa matter (ulimwengu unaoonekana) na kiasi kilichobaki ndicho kinachoongoza hizo matter (ulimwengu usio onekana)
Hivi vitu vinavyoonekana (Normal matter) tunasema ni nature, lakini tukihoji vimeletwa na nani, tunasema pia ni Nature.

Kwa hiyo kuna Nature mbili hapo
✍️ Nature mkuu anayetengeneza wengine (Naturing nature)
✍️Nature mdogo aliyetengenezwa na Nature mkuu (Natured nature)
Kitheolojia, Naturing nature ndio Mungu, na Natured nature ndio hivyo vitu vingine vyote,

Na kila kitu kinaongozwa na Nguvu flani isiyoonekana (dark energy) hii nguvu ipo ndani mwa kila kiumbe au kitu,
Hii nguvu ndio iliyotengeneza hivyo vitu na ndio inayoviongoza.

Yenyewe sio matter, lakini iliunda matter na inaongoza matter.
Baadhi ya vitabu vya Imani vinasema "Mungu alipuliza pumzi yake ndani ya mtu..."

Yaani mungu alimfinyanga mtu, kisha akamuwekea pumzi yake,
Kuelewa zaidi ni Mungu alimtengeneza mtu kisha akajiweka ndani yake ili yule mtu (matter) iweze kuishi,

Hivyo kuna matter ambayo ni coverted Energy na kuna Controlling Energy inayoongoza converted energy
Energy kuwa converted to matter ndo hiyo Energy naturing matter,
Na matter ni Natured Energy, bado naturing Energy inatakiwa kuongoza Nutured Energy

Hapa kuelewa inabidi kuumiza kichwa vizuri, au kutafuta elimu nyingi kwenye haya mambo.

Kumbuka Energy is Constant, kile kinachobadilika kutoka State one to another hakubadilishi idadi ya Energy,
Ndio maana kuna misemo kwamba "akizaliwa mtu anakufa mtu"
Ile ni Theory ya kuweka equilibrium ya Matter-energy relationship.

Fahamu energy hizi zilichangia vikubwa wakati wa bigbang na kuanza kuutanua ulimwengu uliokuwa mdogo zaidi ya yote yaliyomo kuanza kutokea

Mwandishi : Cekam Cekam's
 
ULIMWENGU ULITOKEA BAADA BIGBANG

NADHARIA HII NDIO YENYE MASHIKO SANA

Naweza nikaona kuwa nadharia hii inamashiko sana baada ya kusoma katika maeneo mbalimbali kisayansi na hata kwenye dini pia yote yameeleza kwa usawa pengine tofauti ipo kwa uchache kiasi ambao si mkubwa sana

Ulimwengu na vilivyomo umetokana baada ya mlipuko mkubwa ambapo maneno haya tunaweza kuyapata katika ( ✓Quran tukufu 21:30 )
" Mbingu na ardhi vilishikana RATQ au tusema viligandana vyote kwa pamoja na baada ya mlipuko FATAQ vikajiambua "

Naweza nikaielezea kwa uchache hapo kwamba mbingu na ardhi ni kivipi walivyomaanisha " mbingu ndio ulimwengu wenyewe na ardhi ni hizi sayari na vilivyomo " vyote viligandani kwa kubanana na kuna mlipuko ulitokea na kusababisha kuachana na kumbuka mlipuko huu bado unaendelea na ndio unaoendelea kuunda vitu vingi na vingi zaidi

Baada ya chunguzi nyingi zilizofanyika pia zimebaini kuwa ulimwengu unatanuka huko kusikojulikana hii yote imetokana baada ya ule mlipuko " inflation " ambao baada ya tukio hili energy zilianza kujibadilisha na kuwa matter .

Kumbuka hapo mwanzo baada ya mlipuko energy ilikuwa ya moto ilianza kupoa kuunda electrons huku zikiwa zinasaambaa na baadae kuunda atom na baadae kuanza kuunda maada .

✓ Hadi sasa naweza kusema hii nadhari aya bigbang | mlipuko naweza kuipa asilimia nyingi ya kusababisha ulimwengu wetu kuwapo au kutokea na vyote vilivyomo
 
Galaxy zote zipo kwenye ulimwengu huu tunaoishi.
Hivyo hakukuwa na galaxy yeyote kabla ulimwengu huu haujakuwepo.
Tunasema kufatana na Big Bang theory kwamba hakukuwepo na kitu chochote kabla ya mlipuko huo mkubwa

Big bang theory inasema Energy kubwa iliunda mlipuko usio na kifani,
Narudia tena "Energy" iliunda mlipuko.

Je, Kunaweza kukalipuka vitu ambavyo havipo, kunahitajika kuwepo Matter za kuungua moto ili mlipuko utokee sio.!?
Sasa unaambiwa kulikuwa utupu, tena ukiwa (ombwe/space)
Ila energy ikajikusanya na kulipuka vitu vilivyokuja kuwa matter.

Kama hakukuwepo na kitu, Unaweza kujibu swali la kulilipuka nini.!?

✍️ Quran inasema ilikuwa ni "Fataq"
Fataq ni mlipuko ambao haijulikani umetoka wapi na kipi kimeungua, ila matokeo yanaonekana.

✍️ Cosmology inasema ilikuwa ni "Inflation"
Inflation sio mlipuko kama explosion kwamba kuna vitu vimepasuka au kuungua, hapana bali ni mlipuko wa Energy yenyewe kujibadilisha kuwa matter.
Wanasema energy iliyokuwa ya moto ilianza kupoa na kusambaa kuunda Electrons na badae atom na badae matter.

Hivyo Galaxy iliumbwa kutoka na converted energy to matter,
Ndipo universe ikawepo.
 
According to Newton law of gravity inasema " object kubwa na yenye mass kubwa huzungukwa na object ndogo huko kwenye spacetime "

Kwa kuchukulia kanuni hiyo ni lazima Jua lizungukwe kwasababu lenyewe ndio limechukuwa mass kubwa katika mfumo wa jua
Mh! Mkuu sidhani Kama ulielewa swali vizuri mi nachotaka kujua ni kivipi kitu chenye mass kubwa kinaathiri space kuwa curve/bending..?
Ulichonijibu hapo wewe ni matokea ya space bending,what I want to know ni kuwa Kuna uhusiano gani wa mass na kubend kwa space only that..?
 
According to Newton law of gravity inasema " object kubwa na yenye mass kubwa huzungukwa na object ndogo huko kwenye spacetime "

Kwa kuchukulia kanuni hiyo ni lazima Jua lizungukwe kwasababu lenyewe ndio limechukuwa mass kubwa katika mfumo wa jua
Na lenyewe linazunguka
 
Galaxy zote zipo kwenye ulimwengu huu tunaoishi.
Hivyo hakukuwa na galaxy yeyote kabla ulimwengu huu haujakuwepo.
Tunasema kufatana na Big Bang theory kwamba hakukuwepo na kitu chochote kabla ya mlipuko huo mkubwa

Big bang theory inasema Energy kubwa iliunda mlipuko usio na kifani,
Narudia tena "Energy" iliunda mlipuko.

Je, Kunaweza kukalipuka vitu ambavyo havipo, kunahitajika kuwepo Matter za kuungua moto ili mlipuko utokee sio.!?
Sasa unaambiwa kulikuwa utupu, tena ukiwa (ombwe/space)
Ila energy ikajikusanya na kulipuka vitu vilivyokuja kuwa matter.

Kama hakukuwepo na kitu, Unaweza kujibu swali la kulilipuka nini.!?

[emoji3578] Quran inasema ilikuwa ni "Fataq"
Fataq ni mlipuko ambao haijulikani umetoka wapi na kipi kimeungua, ila matokeo yanaonekana.

[emoji3578] Cosmology inasema ilikuwa ni "Inflation"
Inflation sio mlipuko kama explosion kwamba kuna vitu vimepasuka au kuungua, hapana bali ni mlipuko wa Energy yenyewe kujibadilisha kuwa matter.
Wanasema energy iliyokuwa ya moto ilianza kupoa na kusambaa kuunda Electrons na badae atom na badae matter.

Hivyo Galaxy iliumbwa kutoka na converted energy to matter,
Ndipo universe ikawepo.
Usilibganishe science na hadithi za vitabu vya waarabu na wayahudi
 
OUMUAMUA KITU CHA AJABU KILICHOONEKANA ANGA ZA MBALI

Ilikuwa 19-10-2017 mwanaanga aitwae Robert Weryk akiwa Hawaii kwa kutumia darubini inayoitwa Pan STARRS alishangaa kuona kitu kinatoka nje ya solar system yetu

Habari hii ilienea kwenye vyombo vingi vya habari kama BBC, CNN na Aljazeera, na ilikuw habari ya kushtua kwa kuwa haijawah tokea kitu kutoka nje kuja kututembelea(interstellar object

OUMUAMUA ni exocomet(kitu kitoka nje ya solar system yetu, kikimbia kwa speed kubwa sana 94,800km/h. Upana wake unakadiriwa kati ya mita 35 had 100 na urefu mita 100 hadi 1000 na rangi yake ilikuwa nyekundu

Kitu hicho ambacho wanasayansi wanadhani ni exocomet au terrestrial object maanake kagimba kutoka nje ya solar system kilidumu kwa siku 80 kabla ya kurudi kilikotoka huku kikipita umbali ya kilometer million 33 kutoka hapa duniani. Hadi sasa wanasayansi hawajapata jibu sahihi la OUMUAMUA kwamba baadhi wanaamini ni chombo cha ALIENS ambacho kilikuja kutuchunguza na kisha kurejea kilikotoka na wengine wanadhani ni gimba tu kama magimba mengine, lakini iweje liingie kiwepesi hivyo kwetu na kurudi litokako

Oumuamua imeongeza chachu ya tafiti za anga za mbali na kuongeza dhana ya kwamba huenda Aliens wenye akili kubwa wapo ndani ya Milky Way na wanavyombo ambavyo ni bora zaidi yetu na hivyo wanambinu ya kuja kutalii na kuondoka pasipo kuacha ushahidi wowote.

Picha za chini hapo moja inaonesha njia iliyopita, na nyingine ni muonekano wake, ikicheki vizuri ni kama ndege flani hivi, picha zangu hazina viwango badala yake nenda Google ukitaka kuziona vizuri zaid

View attachment 2052526

View attachment 2052527

View attachment 2052528
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii story ya aliens uwa siiamini hata kidogo.
Sound nyingi
 
According to Newton law of gravity inasema " object kubwa na yenye mass kubwa huzungukwa na object ndogo huko kwenye spacetime "

Kwa kuchukulia kanuni hiyo ni lazima Jua lizungukwe kwasababu lenyewe ndio limechukuwa mass kubwa katika mfumo wa jua
Unajua tofauti ya Newton na Einstein!?
Unajua maana ya spacetime!?
 
Back
Top Bottom