THE SPIRIT THINKER
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 419
- 652
NASA KUWAPELEKEA WANAANGA MAHITAJI MBALIMBALI HUKO ISS
Nasa wameichagua tena kampuni ya space x kuweza kuwapelekea wanaanga mahitaji yao mbalimbali huko kwenye kituo cha uchunguzi wa anga iss kati ya Tarehe 21-24 mwezi huu desemba
Mahitaji hayo ni kama nguo , vyakula na maji pia bila ya kusahau mahitaji ya madawa na vifaa vya huduma ya kwanza na vifaa vya kifanyia experiment mbalimbali za kisayansi ambazo zitawawezesha kufanya chunguzi mbalimbali za kisayansi za anga za mbali kituoni humo
Rocket ya Falcon 9 na Capsule yake ya Crew dragon ndio itakayopakia mzigo hiyo na kuwa tayari kwa safari muda wowote watakapo amua kuweza kuondoka
Chombo kitaongozwa kutokea huku duniani kwakuwa chombo hicho hakitaweza kubeba binadamu yeyote yule only mizigo tu
Angalia unyama sasa wa Elon Musk 🔥🔥 Tunatumia ile Booster tulioitumia kupelekea Dart Mission nadhani unaikumbuka unyama zaidi hata hatujataka kuipaka tena rangi yaani na rangi yake ile ile iliyoungua musk ni mtu mbad sana 🔥🔥🔥
Kaona kuipulizia rangi tena ni upotezaji wa pesa