Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nimesikitishwa sana na taarifa za kuungua kwa soko la Kariakoo.
Hasara iliyopatikana ni kubwa mno, haswa ikizingatiwa kuwa wafanyabiashara wetu hawana elimu ya kutosha ya bima, hivyo huwa hawakati bima, ni wachache Sana wenye kufanya Jambo hili.
With wangu kwa serikali hasa wizara ya elimu, ufundishwaji wa somo la ujasiriamali uanzie ngazi ya shule ya msingi na elimu hiyo itolewe sambamba na elimu ya bima ili pale wafanyabiashara wetu wakipatwa na majanga, waweze kufidiwa na bima walizokata.
Hotep, Hotep.