Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Status
Not open for further replies.
Wachangiaji wamepoteza hata maana ya "thread" mleta mada alitaka kujua ubora wa chuo na wala hakukosea kokote na kwa kujua ufinyu wa fikra wa wanajiita great thinkers wengi hapa JF , mleta mada akatoa tahadhari mapema kuwa tusichangie kwa kuongozwa na mihemuko ya kiimani! lakini kama kawa alichotaadhalisha ndio kile kinachoendelea hapa! kama watu watuna majibu ya kumpa si bora kuacha kuandika kuliko kukashfiana na kuonesha udhaifu wetu wa kifikra! pole sana OKWI BOBAN SUNZU ulikuwa na nia njema ila ndio hivyo tena uzi umepindishwa na kpoteza maana!

imenikera sana,uzi unafika page ya 4 hakuna la maana,bora Mod akaufunga
 
mnanichekesha sana wadau, chuo hakitoi wahitim!!! kama kinatoa, bas tujue pia ni kwenye nyaja zipi wanaajiriwa? mtoa uzi cjui kawaza nn mpaka aka-post hii kitu.

ajabu maraia wamekuja na hasira kwamba nimekashfu,ivi kujua ubora wa elimu ni kashfa?
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa chuo hiki kinaitwa MUM!kabla ukiniambia nasoma MUM siwezi kujua ni wapi.asanteni
 
Mi nadhani moro kuna vyuo vizuri sana...kama jordan, kuna mzumbe na SUA..kama unataka kukaa moro...KARIBU ila kwa hicho MUM hata TCU hakipo..admission inafanyika kama form six

CR1/ 017

Ukienda TCU angalia jina la hiyo namba!!!!!
Ongea kama mtu na akili timamu sio unabwabwaja tu
 
Mmmh, msichokonoe undan wa mambo yasiyowahusu, hatutaki matusi.
 
imenikera sana,uzi unafika page ya 4 hakuna la maana,bora Mod akaufunga

Ukiwa na adabu mbona utaelekezwa tu ila sasa uliweka mwenyewe hisia wakati unaandika ulitegemea watu wote wawe na uvumilivu???!!!

Tunatofautiana sana kwenye kuhimili hisia!!!!!

By the way mbona hisia ni sehemu ya uandishi wako hata kwenye jukwaa la siasa???!!!
 
ndo mana nakwambia we mpuuzi,kwa nini upo sasa humu Jf,hapa tunapashana habari,sema umejishtukia na huna majibu,acha wenge

Duh, upuuzi umekujaje hapo?
Unaonekana una stress sana, Inshaallah Mola atakupa mume wa kukutuliza mtima.
 
Kwani shida yako hasa nini, halafu ukishajua quality ya chuo inakuaje? Mbona sisi hatuhoji migpa mikubwaa mnayopeana huko kwenye saint zenu? Acha choko choko dada, kama huna la kufanya tafuta mume uolewe sio unaamka asubuhi asubuhi na ge.nye za kuchokoa wanaume. Kama jibu langu halijakutosha nenda kaulize pale pale chuoni, nadhani watakuwa na jibu mujarab.
Naona bado una hangover za vunja jungu
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa chuo hiki kinaitwa MUM!kabla ukiniambia nasoma MUM siwezi kujua ni wapi.asanteni

Sasa ulianza kuchimba mantiki wakati muonekano hujaujua????!!!!
Mbona una hila kiumbe????!!!!

Utasema ni realist sawa lakini hata hujui basi process na mechanism ya hiyo mantiki unayoulizia????!!!!

Basi hoja ingekuja ; nini vigezo vya kupima ubora wa chuo kikuu Tanzania???!!!

Ni wakati tu utajua mkuu!!!!!
 
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani

mkuu, hiki ni chuo cha KIISLAMU, kama jina lake lilivyo...bila kuvaa shungi, kibaghalashia na kanzu, na jina lako kutokuwa na ubini wa kiislamu, kamwe usithubutu kuomba nafasi kwenye chuo hiki. Utapoteza muda na fedha zako bure bilashi.
 
,,,ivi graduates wa pale wanaajiriwa ofisi zipi. Serious.
Wamekaa kimtego, wanasubiri serikali ianzishe na kugharamia mahakama za kadhi ili wachangamkie ajira. Kwingine hawaqualify kupata ajira
 
kwan mtu ukisoma elimu ya dini (yoyote) unafanya kazi sehemu gani ?
 
mi mwenyewe hili linanipa tabu,siwaoni maofisi,au wanaajiriwa sana nchi za nje?

wanaajiriwa uarabuni, muulize mbunge wa temeke bw Mtemvu atakuwa anafahamu kwa kuwa yeye huwatafutia ajira arabuni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom