OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
Wachangiaji wamepoteza hata maana ya "thread" mleta mada alitaka kujua ubora wa chuo na wala hakukosea kokote na kwa kujua ufinyu wa fikra wa wanajiita great thinkers wengi hapa JF , mleta mada akatoa tahadhari mapema kuwa tusichangie kwa kuongozwa na mihemuko ya kiimani! lakini kama kawa alichotaadhalisha ndio kile kinachoendelea hapa! kama watu watuna majibu ya kumpa si bora kuacha kuandika kuliko kukashfiana na kuonesha udhaifu wetu wa kifikra! pole sana OKWI BOBAN SUNZU ulikuwa na nia njema ila ndio hivyo tena uzi umepindishwa na kpoteza maana!
imenikera sana,uzi unafika page ya 4 hakuna la maana,bora Mod akaufunga