OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #61
Wachangiaji wamepoteza hata maana ya "thread" mleta mada alitaka kujua ubora wa chuo na wala hakukosea kokote na kwa kujua ufinyu wa fikra wa wanajiita great thinkers wengi hapa JF , mleta mada akatoa tahadhari mapema kuwa tusichangie kwa kuongozwa na mihemuko ya kiimani! lakini kama kawa alichotaadhalisha ndio kile kinachoendelea hapa! kama watu watuna majibu ya kumpa si bora kuacha kuandika kuliko kukashfiana na kuonesha udhaifu wetu wa kifikra! pole sana OKWI BOBAN SUNZU ulikuwa na nia njema ila ndio hivyo tena uzi umepindishwa na kpoteza maana!
mnanichekesha sana wadau, chuo hakitoi wahitim!!! kama kinatoa, bas tujue pia ni kwenye nyaja zipi wanaajiriwa? mtoa uzi cjui kawaza nn mpaka aka-post hii kitu.
Mi nadhani moro kuna vyuo vizuri sana...kama jordan, kuna mzumbe na SUA..kama unataka kukaa moro...KARIBU ila kwa hicho MUM hata TCU hakipo..admission inafanyika kama form six
imenikera sana,uzi unafika page ya 4 hakuna la maana,bora Mod akaufunga
ndo mana nakwambia we mpuuzi,kwa nini upo sasa humu Jf,hapa tunapashana habari,sema umejishtukia na huna majibu,acha wenge
Naona bado una hangover za vunja junguKwani shida yako hasa nini, halafu ukishajua quality ya chuo inakuaje? Mbona sisi hatuhoji migpa mikubwaa mnayopeana huko kwenye saint zenu? Acha choko choko dada, kama huna la kufanya tafuta mume uolewe sio unaamka asubuhi asubuhi na ge.nye za kuchokoa wanaume. Kama jibu langu halijakutosha nenda kaulize pale pale chuoni, nadhani watakuwa na jibu mujarab.
weka guide 2013 hapa tuone....CR1/ 017
Ukienda TCU angalia jina la hiyo namba!!!!!
Ongea kama mtu na akili timamu sio unabwabwaja tu
Nilichojifunza hapa ni kuwa chuo hiki kinaitwa MUM!kabla ukiniambia nasoma MUM siwezi kujua ni wapi.asanteni
weka guide 2013 hapa tuone....
mi mwenyewe hili linanipa tabu,siwaoni maofisi,au wanaajiriwa sana nchi za nje?
Nakupa ya 2014 we unaulizia ya 2013 ? ???!!!!!
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani
Niombee mkuu Matola,nipo kwnye basi kwenda Mbeya,pengine tunaendeshwa na jini humu
Wamekaa kimtego, wanasubiri serikali ianzishe na kugharamia mahakama za kadhi ili wachangamkie ajira. Kwingine hawaqualify kupata ajira,,,ivi graduates wa pale wanaajiriwa ofisi zipi. Serious.
Duh, upuuzi umekujaje hapo?
Unaonekana una stress sana, Inshaallah Mola atakupa mume wa kukutuliza mtima.
mi mwenyewe hili linanipa tabu,siwaoni maofisi,au wanaajiriwa sana nchi za nje?