Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umewahi kutembelea kampuni za bakhressa?
,,,ivi graduates wa pale wanaajiriwa ofisi zipi. Serious.
mi napita tu naelekea church.
NSSF au UDOM
Niombee mkuu Matola,nipo kwnye basi kwenda Mbeya,pengine tunaendwa na jini humu
Niombee mkuu Matola,nipo kwnye basi kwenda Mbeya,pengine tunaendeshwa na jini humu
Dah mkuu bora upate ajal mbaya na ukatike miguu ili ukome kukashifu din za watu kwa mambo yakupakazia
Dah mkuu bora upate ajal mbaya na ukatike miguu ili ukome kukashifu din za watu kwa mambo yakupakazia
umegipa daku ya kitimoto na bangi?wapishe wenzio walio timamu
ndugu mtoa mada kakashifu wapi?
Hahahaaaaa!
Mukhliswina lahu diina walahu kariha l kaafirun.
Dah mkuu bora upate ajal mbaya na ukatike miguu ili ukome kukashifu din za watu kwa mambo yakupakazia
Hata TCU hawamo.
ndo quality ya chuo hii uliyoandika?hapa haupo kwny muadhara,unajua!
amekashifu wapi? nioneshe bandiko alilokashifu nitakuwa wa kwanza kumreport apewe ban.