OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #81
Umepanda bus gani ambalo dereva wake ni jini?
Abood!kuna tetesi mabasi yanaendeshwa kishirikina,ndio hafu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepanda bus gani ambalo dereva wake ni jini?
weka 2013/2014... afu ndo ujue.... sio unakuja kwa fujo kwa ushabiki tu
mkuu, hiki ni chuo cha KIISLAMU, kama jina lake lilivyo...bila kuvaa shungi, kibaghalashia na kanzu, na jina lako kutokuwa na ubini wa kiislamu, kamwe usithubutu kuomba nafasi kwenye chuo hiki. Utapoteza muda na fedha zako bure bilashi.
Watanzania ifike mahali tujitambue...watu wa aina hii ambao wanaleta mada za uchochezi ili watu waanze kutoleana kejeli kwa imani zao tuwe tunawapotezea...hii ndio itakuwa dawa ya watu wenye akili za kuku...huna lolote uchonganishi tu....
huyu mleta mada anafi_wa. Amalizie mwenyewe hiyo herufi moja iliyobak,hivyo hapa yupo mawindoni anataft bwana wa kumshughulikia hilo linda linalomchonyota
Wamekaa kimtego, wanasubiri serikali ianzishe na kugharamia mahakama za kadhi ili wachangamkie ajira. Kwingine hawaqualify kupata ajira
kwan mtu ukisoma elimu ya dini (yoyote) unafanya kazi sehemu gani ?
Endeleen na Elimu akhera zenu. Alafu mwisho mnaenda vile vile moton
Kuna research inaonesha kuwa watanzania 95% walikosa lishe bora walipokuwa wadogo yani.walikuwa na mtapia mlo kwa upande wangu naona hii nayo ni sababu inayowafanya muwe na akili za kuku kwahiyo sio kosa lenu ni kosa la walezi wenu....