Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Status
Not open for further replies.
Kuna vitu unapata taabu kuvi-comprehend, kazi ya TCU ni KUSIMAMIA UBORA wa vyuo vikuu vyote isipokuwa MUM & SUZA na kudahili wanavyuo wote (UNIVERSITIES & NON UNIV) Tanganyika isipokuwa MUM.

HESLB kazi yao ni kutoa mikopo kwa vyuo vyote Tanganyika & Zanzibar

You think so!!!!!!
Leo ukianzisha Nyakageni university na ukasema wewe unachukua divisheni ziro tu!!!!!
Utapewa mkopo kwa ajili ya wanafunzi wako???!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na four unapata tuu mkuu, afu unatoka na GPA ya 5
 
You think so!!!!!!
Leo ukianzisha Nyakageni university na ukasema wewe unachukua divisheni ziro tu!!!!!
Utapewa mkopo kwa ajili ya wanafunzi wako???!!!

Ha ha haaa! Overexaggeration Mkuu. Nimesema anayefanya kazi ya kukagua vyeti ni HESLB na ni vijana wa mapokezi ground floor pale Mwenge Vinyago. TCU haihusiki kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna huu upotoshaji kwamba chuo kina elimu isiyo rasmi ya Kung Fu na chuki dhidi ya dini zingine

Kiukweli chuo chetu ni miongoni mwa vyuo vichache (visivyozidi 3) vyenye program ya kujifunza lugha ya KICHINA. Sasa hawa walimu kutoka china pamoja na kufundisha lugha yao lakini pia wanafundisha KARETI hivyo miongoni mwa wanafunzi wanaosima lugha hiyo wapo baadhi wanaojifunza kareti pia.

Sasa sijajua kama katika vyuo vingine kama UDOM Wanaendesha mafunzo haya ya KARETI au la....
 
Ha ha haaa! Overexaggeration Mkuu. Nimesema anayefanya kazi ya kukagua vyeti ni HESLB na ni vijana wa mapokezi ground floor pale Mwenge Vinyago. TCU haihusiki kabisa

Umeona sasa mkuu hoja yangu ni kuwa je wanaingia wooote hata wasio na sifa kwa mujibu wa TCU inayowakilishwa na HESLB????
 
I did, i just chose to go by majority!!!!

Mpenda kazi what are the entry qualifications/cut off points???!!

You can be admitted to MUM if you have 2 principle. But i thing it will be better if you access the link below

www.mum.ac.tz
For information.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli chuo chetu ni miongoni mwa vyuo vichache (visivyozidi 3) vyenye program ya kujifunza lugha ya KICHINA. Sasa hawa walimu kutoka china pamoja na kufundisha lugha yao lakini pia wanafundisha KARETI hivyo miongoni mwa wanafunzi wanaosima lugha hiyo wapo baadhi wanaojifunza kareti pia.

Sasa sijajua kama katika vyuo vingine kama UDOM Wanaendesha mafunzo haya ya KARETI au la....

Confucious Institute popote walipo wanafundisha utamaduni wa Kichina, mateke,ngumi na mianguko ikiwemo katika hiyo set ya utamaduni!!!!
 
Pamoja na yote aliyevaa viatu na malapa watakua tofauti its all abt ethis and not religion
 
Binafsi siwezi kuajiri mtu mwenye elimu kutoka hicho chuo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom