MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Mkuu we ni muha?
umri wako tafadhali??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu we ni muha?
Kuna vitu unapata taabu kuvi-comprehend, kazi ya TCU ni KUSIMAMIA UBORA wa vyuo vikuu vyote isipokuwa MUM & SUZA na kudahili wanavyuo wote (UNIVERSITIES & NON UNIV) Tanganyika isipokuwa MUM.
HESLB kazi yao ni kutoa mikopo kwa vyuo vyote Tanganyika & Zanzibar
Mkuu we ni muha?
Siku ya kwanza kusikia hii stori nilicheka sana!!!
umri wako tafadhali??
You think so!!!!!!
Leo ukianzisha Nyakageni university na ukasema wewe unachukua divisheni ziro tu!!!!!
Utapewa mkopo kwa ajili ya wanafunzi wako???!!!
Mkuu kuna huu upotoshaji kwamba chuo kina elimu isiyo rasmi ya Kung Fu na chuki dhidi ya dini zingine
Vp futuru Mkuu OLESAIDIMU
Ha ha haaa! Overexaggeration Mkuu. Nimesema anayefanya kazi ya kukagua vyeti ni HESLB na ni vijana wa mapokezi ground floor pale Mwenge Vinyago. TCU haihusiki kabisa
I did, i just chose to go by majority!!!!
Mpenda kazi what are the entry qualifications/cut off points???!!
Kiukweli chuo chetu ni miongoni mwa vyuo vichache (visivyozidi 3) vyenye program ya kujifunza lugha ya KICHINA. Sasa hawa walimu kutoka china pamoja na kufundisha lugha yao lakini pia wanafundisha KARETI hivyo miongoni mwa wanafunzi wanaosima lugha hiyo wapo baadhi wanaojifunza kareti pia.
Sasa sijajua kama katika vyuo vingine kama UDOM Wanaendesha mafunzo haya ya KARETI au la....
You can be admitted to MUM if you have 2 principle. But i thing it will be better if you access the link below
www.mum.ac.tz
For information.
Ndo mana nahisi we ni Muha,kwa kuwa hubisha bila kusikiliza hujikuta anabishana na hata mtu anayemuunga mkono
labda coz sikukuelewa be4,bt haina shida dogo atakuwa kashalipata somo na kulielewa