Elimu ya chuo kikuu basi tena..!!! Natafuta mtaji wa M-pesa.!

sijui hata wa kumlaumu nani..!!
Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.!
Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!!

Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!

Elimu ya kujitegemea iliwasaidia sana watz wa enzi za baba wa taifa. Darasa la saba wa enzi hizo anamiliki magari, mashule, vituo vya mafuta n.k. na kuwaajili magraduates.
 
Tumlaumu nani kwa haya mabadiliko ikiwa graduate anakula kwa baba na mama.!
 
Back
Top Bottom