Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Potelea mbali kiingereza halikusaidii bado. Huwezi jaji ubora wa elimu Kwa kigezo cha ajira. Mana ajira ni kesi tofaut na elimu... Mambo ya kisasa yote yanaenda na elimu hii hii inavyoonekana haifai. Cha ajabu elimu inaonekn haifai kila tukiwaangalia waliokosa ajira. Narudia kusema ya Ajira ni mengine kabisa sio ya elimu ya darasaniUmeelezea au umefafanunua ... wasomi kingereza hamjui ila mnapenda kukitumia huo ni ujinga wa kwanza.