Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Potelea mbali kiingereza halikusaidii bado. Huwezi jaji ubora wa elimu Kwa kigezo cha ajira. Mana ajira ni kesi tofaut na elimu... Mambo ya kisasa yote yanaenda na elimu hii hii inavyoonekana haifai. Cha ajabu elimu inaonekn haifai kila tukiwaangalia waliokosa ajira. Narudia kusema ya Ajira ni mengine kabisa sio ya elimu ya darasaniUmeelezea au umefafanunua ... wasomi kingereza hamjui ila mnapenda kukitumia huo ni ujinga wa kwanza.
Nimekuambia wapo wengi wamefanikiwa na wanajitegemea na nikakujibu kwa kukupa historia ya Mwigulu, au hukuelewa kama umeuliza maswali mawili yaliyohitaji majibu mawili...usichoelewa ni kipi ?Nimekuuliza wewe kwenye familia yako msomi nani? Au mwingulu ndugu yako
Umeelewa nilichoandika au? ajira na elimu vitu viwili tofauti si ndio sasa unasoma ili iweje kwa elimu yetu ya kibongo.Potelea mbali kiingereza halikusaidii bado. Huwezi jaji ubora wa elimu Kwa kigezo cha ajira. Mana ajira ni kesi tofaut na elimu... Mambo ya kisasa yote yanaenda na elimu hii hii inavyoonekana haifai. Cha ajabu elimu inaonekn haifai kila tukiwaangalia waliokosa ajira. Narudia kusema ya Ajira ni mengine kabisa sio ya elimu ya darasani
Mwingulu amejiajiri au ameajiriwaNimekuambia wapo wengi wamefanikiwa na wanajitegemea na nikakujibu kwa kukupa historia ya Mwigulu, au hukuelewa kama umeuliza maswali mawili yaliyohitaji majibu mawili...usichoelewa ni kipi ?
numbisa vipi dadangu?mzima wewe?natanguliza shukrani👏Hii ndio inawanufaisha wanasiasa kuendelea kutupumbaza
We ni mjinga sijawahi pata kuona.Elimu tunayoipata na kutoa kiukweli haina uhalisia wa maisha kabisa.....hivi leo mtoto anasoma na kumeza mambo ya vita kuu ya dunia ya mwaka 1914 ili iweje labda???? Vita vya majimaji vinamsaidia nini sasa???
we ndo mjinga kabisa 📌 kwahiyo mtu kumfunidisha wizi ni elimu sahihi. Soma comment ya kiongozi utaelewa alichoimanisha. Ni sawa unafundishwa logalism afu kwenye maisha yetu unakutana nayo wapi? Kingine unapotoka form2 kwenda 3thd unaambiwa uchague vipindi kwanini unapoanza form one ukachague vipindi hivo. Mfumo mzima wa elimu Tanzania ni mbovu. Tunahitaji elimu sio tumalize elimu tupate Ajira.We ni mjinga sijawahi pata kuona.
Unafahamu Ulaya wanafundishwa Eurocentric views? Unafahamu ni kwanini?
Ni kufahamu historia, wapi wazee wa zamani walikosea na tufanyeje turekebishe makosa.
Bila kumfundisha mtoto Vita vya majimaji, hataweza kufahamu kuwa hatukuwa na Teknolojia sahihi, teknolojia yetu ilikuwa hafifu na pia Uchawi hauna faida yoyote.
Watu ni wajinga mno.Hemedi utaingia kwenye ignirant list ya watu wengi mnoo. Huwez jaji ubora wa elimu Kwa kigezo cha ajira. Ya Ajira ni mengine kabisa na yanasababishwa na kitu kingine kabisa sio kinachofundiahwa darasani
Ni sawa, endelea kumfundisha mwanao vita yya majimaji kisha akimaliza shule akafungue duka afanye application ya hivyo vita kwenye biashara yake.....ni rahisi sanaWe ni mjinga sijawahi pata kuona.
Unafahamu Ulaya wanafundishwa Eurocentric views? Unafahamu ni kwanini?
Ni kufahamu historia, wapi wazee wa zamani walikosea na tufanyeje turekebishe makosa.
Bila kumfundisha mtoto Vita vya majimaji, hataweza kufahamu kuwa hatukuwa na Teknolojia sahihi, teknolojia yetu ilikuwa hafifu na pia Uchawi hauna faida yoyote.
Huwezi endelea bila kujua historia hapo nyuma.Ni sawa, endelea kumfundisha mwanao vita yya majimaji kisha akimaliza shule akafungue duka afanye application ya hivyo vita kwenye biashara yake.....ni rahisi sana
Sawa kijana mwenye akili nimekuelewaHuwezi endelea bila kujua historia hapo nyuma.
Lazima ufahamu wapi watu walifanikiwa na wapi walifeli na kujitahidi kutorudia kosa.
Biashara ipo hivyohivyo , lazima mtoto ajifunze historia ya uchumi na biashara ajue mwanzo na mwelekeo.
Hapa nahitaji kufahamu maana halisi ya Elimu. Elimu ni nini?
🤔 me najua unapopata elimu means unaweza tatua changamoto zinazokabiri jamii yako na kuleta maono mapya ndo maana ya elimu.
hata jamii inasema sisi tunamsomi..
Pamoja na maelezo yako ila tuwe wakweli hii elimu inayotolewa hapa nchini haimuandai mtoto kupambana dhidi ya mazingira aliyopo. Ukisema mtoto akae darasani kujifunza tu historia ya jamii yake akimaliza shule atafanya nini sasa na hio historia aliyoisoma akiwa shule? Wakati huo hana ujuzi hana maarifa ila anaielewa jamii yake ilipitokea...Huwezi endelea bila kujua historia hapo nyuma.
Lazima ufahamu wapi watu walifanikiwa na wapi walifeli na kujitahidi kutorudia kosa.
Biashara ipo hivyohivyo , lazima mtoto ajifunze historia ya uchumi na biashara ajue mwanzo na mwelekeo.