Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Nimekutana na professor mmoja mbobezi katika kupractise na kufundisha sheria shule kuu ya sheria chuo kikuu Dar es salaam katika hotel Moja hapa Kariakoo.
Ghafla tulifikia mada ya ubora wa elimu Tanzania. Nikamwambia watoto wanamaliza wapo weupe na mbaya zaidi hawajui hata haki zao. Akaniambia chanzo ni watoto wanasoma vitu vingi sana wapunguziwe. Mimi nikamwambia wanasoma vitu vichache sana anamaliza wanajua kusoma na kuandika.
Ghafla akarukia kuwa yeye Haoni umuhimu wa electrolysis. Nikamuuliza una Gari? Nikamwambia unayo miaka mingapi akaniambia huu ni mwaka wa tano. Nikawambia bila electrolysis itadumu mwa mmoja tu.
Nikamuuliza una saa hapo akasema ndio. Ugejisikiaje kuvaa mabati yenye kutu?
Akashangaa akaniuliza umesoma Tanzania? Nikamwambia ndio sijawahi kukutana na mtanzania mwenye uwezo kama wako.
Akaniuliza nini kifanyike nikamwambia form ndio elimu pekee mwanafunzi anatakiwa kutawala mazingira yake. Baada ya hapo anajiandaa na professionals. Akakubaliana na Mimi kuwa masomo yaongezwe halafu wanafunzi wasichague masoma ili wapate muongozo wa ulewa wa mambo ya nayo wazunguka.