Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #41
Hahaha unanitafutia majangaNtampa hilo wazo lako akalitazame mfono bibi matozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha unanitafutia majangaNtampa hilo wazo lako akalitazame mfono bibi matozo
Rafiki tena mkuu? 🤔 Omba mkapige 3some MFM mkirudi tuje kudiscuss electrolessHana Rafiki yake unipe nioe Mimi sipendi kuzini
hii plactise ndio nini tena? Na mimi niunge kwa huyo 'Plofesa' maana nimeshindwa kuelewa.Nimekutana na professor mmoja mbobezi katika kuplactise na kufundisha sheria shule kuu ya sheria chuo kikuu Dar es salaam katika hotel Moja hapa Kariakoo.
Point Yako inamashiko ila siyo saana hailengi kitu tunachozungumzia kiuhalisia,, hivi tuchukulie wote tuwe ma-teller bila kuwa na taaluma zingne inchi itaendeshwa na ma- teller tu;??? Mfano mzuli pia ww hPo nyumbn kwako ndyo umesoma na sijui unataaluma Gani lakin huwezi kushindwa kupachika bulb kweny holder ili taa iwake japokuwa si taaluma Yako unaweza kufanya hvyo,, ko mm naona elimu watu wasome masomo yote wasibague masomo ili kumudu mazingira ya ki- technologia zinazotuzunguka Kwa sasa,,twende na usasa na maisha ya sas yamebeba hasa upana WA elimu kwanza, pia unavyosema tujifunze juu ya elimu ya kupata pesa huwezi kupata pesa bila kuwa na elimu aimaanish elimu ya shule ama ya kupata mtaani ila zote ni elimuKujua electrolysis kuna kusaidia nini kama kama wewe sio sonara au mfuaju wa madini?
Profesa alikuuliza umesoma nje kwa kujua umuhimu wa electrolysis, Mh!.
Mfanyakazi wa benki electrolysis inamsaidia nini?
Bado kuna watu mnaamini masomo yaongezwe wakati yaliopo tu wanafunzi hawayamudu, hata wakijua masomo yote kwa faida gani? Hufanyii application popote kama wewe sio mtaalamu wa hio sekta.
Mzee kishimba kafundidha bungeni kuwa tuwafundishe watoto kutafuta pesa.
Elimu ilenge kutafuta pesa.
Elimu imejaa mitandaoni halafu unataka ukariri mambo mengi, ya nin?
Mimi mkulima wa viazi njombe, historia ya Hitler inanisaidia nini katka maisha yangu?
Mfuzikia,a na mkemia, engineer hio elect.. ni halali yao sio mwalimu wa kiswahili, au IT haimpunguzii chochote kutoijua.
Umeona mkeka huo mkuu..Kujua electrolysis kuna kusaidia nini kama kama wewe sio sonara au mfuaju wa madini?
Profesa alikuuliza umesoma nje kwa kujua umuhimu wa electrolysis, Mh!.
Mfanyakazi wa benki electrolysis inamsaidia nini?
Bado kuna watu mnaamini masomo yaongezwe wakati yaliopo tu wanafunzi hawayamudu, hata wakijua masomo yote kwa faida gani? Hufanyii application popote kama wewe sio mtaalamu wa hio sekta.
Mzee kishimba kafundidha bungeni kuwa tuwafundishe watoto kutafuta pesa.
Elimu ilenge kutafuta pesa.
Elimu imejaa mitandaoni halafu unataka ukariri mambo mengi, ya nin?
Mimi mkulima wa viazi njombe, historia ya Hitler inanisaidia nini katka maisha yangu?
Mfuzikia,a na mkemia, engineer hio elect.. ni halali yao sio mwalimu wa kiswahili, au IT haimpunguzii chochote kutoijua.
Nkwel mkuu elimu yetu imewekwa kwa kukalili lKini si kufundishwa na kuelew Nini unafundishwa na Nini kinakuja kukupa manufaa ya kile kitu ulichojifunza si mtihani kufaulu Kwa njia ya kukalili , na hata waaalimu wako katika ufundishaji WA namna ya kukalilisha wanafunzi na hata kama akitoa mtihani anatoa ndani ya mle mle ili wafaulu mitihani yake bila ya kuwapa chalanges nyingi ndan ya swaliInawezekana kuna vitu vina umuhimu mkubwa ila kwa ufundishaji wa Tz unafanya vionekana havina maana kwani zimebase katika kukariri na sio uelewa na kumjenga mwanafunzi.Kuna vitu vya O_level nilikariri nilijua umuhimu wake baada ya kusoma vitabu vya mitaala ya nje nikakuta wameeleza vizuri sana kwa namna bora ya kumjenga mwanafunzi .
Kingine ni mazingira mabovu ya ufundishaji vitu vya kusomea maabara vinasomwa kama theories,hata ikitokea kuenda maabara idadi ya vifaa inakuwa vichache kuhimili idadi ya wanafunzi.Mimi shule nilizopitia asilimia kubwa ya vitu vya maabara tumesoma kea kukariri kama theories isipokuwa vile ambavyo vinatoka kwenye mtihani maalaumu ya practical hapo tulienda Lab.
Mfumo ulihalibiwa toka mwanzoNkwel mkuu elimu yetu imewekwa kwa kukalili lKini si kufundishwa na kuelew Nini unafundishwa na Nini kinakuja kukupa manufaa ya kile kitu ulichojifunza si mtihani kufaulu Kwa njia ya kukalili , na hata waaalimu wako katika ufundishaji WA namna ya kukalilisha wanafunzi na hata kama akitoa mtihani anatoa ndani ya mle mle ili wafaulu mitihani yake bila ya kuwapa chalanges nyingi ndan ya swali
Hoja yangu na profesa ni kwamba kuna watu kibao wanafanya PRINTING na hawajui what is electrolysis,lakini kutokujua kwao electrolysis hakuwazuwii wao kufanya printing.Mfano electrolysis ni biashara tayari kabisa ukiwa na uelewa wa electrolysis utafanya printing na kuongeza Tija kwenye bidhaa zako.
Kuna watu hawajapita shule na wanauza asali kwenye madumu ambayo sio buvubuvu na wala hawajui hiyo electrolysis ni nini.Sasa ujaza asali kwenye dumu buvubuvu nani atanunua
Profesa alikuwa na hoja ya msingi sana.Umuhimu wa kitu unatokana na appications zake, sasa hatuundi hivyo vifaa zaidi ya kuimport, hizo electrolysis za nini. Tusome na kufundisha masuala yanayoendana na maisha yetu ya kila siku.
Ahahah sawa mkuu,profesa hoja yake ina msshiko kwa sababu electrolysis haileti faida yoyote katika jamii ya walioisoma.Ahahaha ndugu umeongea kitu nmekuelew sana
Professor akasema """sijawahi kukutana na mtanzania mwenye uwezo kama wako"""Ahahah sawa mkuu,profesa hoja yake ina msshiko kwa sababu electrolysis haileti faida yoyote katika jamii ya walioisoma.
Faida zinazoonekana ni zile ambazo zipo hata kabla ya electrolysis theory kuvumbuliwa,so kuna faida gani ? Hakuna.
Photosynthesis ina faida gani kwa mkullima kabla ya kuijua na baada ya kuijua ? Hakuna.
Mambo yanaendelea watu wanapanda mahindi na kuvuna wala hawajui upuuzi unaoitwa photosynthesis
Nipo kushusha watu vyeo humu.Una pointi kiasi fulani..
Huwenda alimpa moyo mtoa mada,lakini kiukweli hoja ya profesa ina mashiko sana🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kwahiyo akasema ajawahi kuona mtanzania mwenye uwezo kama wako.
Na jamaa ni profesa !!!!!!!????
Uwezo mkubwa wa kutochakata mambo.😃😃Professor akasema """sijawahi kukutana na mtanzania mwenye uwezo kama wako"""
Daaah professor akumalizia uwezo gani huo... 🤓🤓🤓🤓🙏🙏🙏
Nakubaliana na wewe...Huwenda alimpa moyo mtoa mada,lakini kiukweli hoja ya profesa ina mashiko sana