Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kila moja hawezi kuunga mkono juhudi hata kwa hizo SMG. Hii serikali yenyewe inaishi kwa fadhila za wazungu wanaoipa "Handouts".
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Lissu alisomeshwa na baba yake aliyekuwa akilipa kodi kuliko shangazi yako.
 
v
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
VIPI WEWE ELIMU YAKO INA MSAADA GANI KWA TAIFA HILI KAMA MNASIFIA MATENDO YA FIRAUNI.
 
Waliomuuwa chacha Wangwe baada ya kutaka kuwa mwenyekiti?
Na kwa kweli hao wasiojulikana ndio walimuua baada ya Wangwe kuvujisha siri ya kumuona Balali Marekani akiwa hai huku wananchi wakiwa tayari wamedanganywa kuwa alikuwa amefariki dunia.

Hakuna hata kiongozi mmoja wa Chadema aliyeshitakiwa kufuatia kifo cha Wangwe. Kadanganye wajinga wenzako.
 
Hapa ndipo ninapoona Lumumba Wote hamna akili zaidi ya kuwawezesha kuvuka barabara! Lissu alishauri Kama tunataka kuwashughulikia tunaowaita wanyonyaji tujitoe kwanza MIGA, hakusema tutashitakiwa MIGA! Oneni tofauti, MIGA Ni Mkataba. Lissu alisema tutashitakiwa kwenye Mahakama za Kimataifa, Jambo ambalo limeshafanywa na Accacia! Nyie hapo Lumumba najua mnasubiri msikie Tanzania imeshitakiwa MIGA mlivyo na akili duni kutokana na Maradhi ya minyoo na kwashiakoo! Fungueni akili, elimikeni, sii muda wa kukaza shingo, mmeshashindwa ila bado vipofu!
Na kujitoa maana yake wawekezaji bye bye
 
Lissu amelisaidia sana taifa letu...
hahaha kwa lipi? very very useless! infact upinzani ni very useless haswa chadema, nyie mnapiga kelele corona na at the same time mlikua mnapiga kampeni huku mkijua kuna corona, ni mara 100 alietetea hakuna corona then akawajaza! sasa nyie corona mnasema ipo alafu mnaita watu kwenye mikusanyiko, ivi mna akili kweli nyie?
 
Pole dada uwezo wako wa kudadavua mambo ni mdogo sana acha kabisa kujadili elimu za watu mimi nakushauri rudi darasani kasome upya ukihitimu utashangaa uwezo wako wa kujadili mambo utaongezeka,kwa sasa uko gizani,rudi shule dada

ndo upinzani kwa jumla mmekuja na hili jibu?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Wewe ndiye mzigo na mwabudu miungu ya akina Jiwe.Jiwe ndiye arudishe hela, huwezi ukawa mwanasayansi halafu ukaamini dawa za mitishamba kwenye matatizo makubwa km korona.
 
ELIMU ya vijana wa Lumumba ichunguzwe.
Kila nikisoma utumbo kama huu huwa nasikitikia sana taifa langu pendwa. Wakati wengine wanathamini wananvchi wao kuwa na uelewa mkubwa wa mambo muhimu, sisi tunaridhika kuwa na wananchi wasioelewa kitu, wanaoongozwa na imani za ajabu ajabu na mitazamo isiyojikita katika uhalisia wa mambo. Unaposema Acacia wa wametunyonya, hivi unajua hii biashara ya uchimbaji mkubwa unavyoendesha duniani kote? Au ume base zaidi kwenye simulizi za kipropaganda wa kijamaa kuwa kila mtu mwenye juhudi ni mnyonyaji???
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
ELIMU ya vijana wa Lumumba ichunguzwe. Ukiwa professor wa CCM ndio walee wanaohamasisha watu kupiga nyungu kupambana na korona.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Wewe ya kwako inawasaidia nini watanzania?? Wacha imsaidie yeye na familia yake kwanza. Kama Mnataka iwasaidie mgeni nafasi, na siyo kumjazia kesi zisizokuwa na maana.

Kama alipigwa risasi na "majambazi" mchana saa 7 na "majambazi" yakatoka bila kuguswa, unategemea Lissu afanyeje?
 
Kila nikisoma utumbo kama huu huwa nasikitikia sana taifa langu pendwa. Wakati wengine wanathamini wananvchi wao kuwa na uelewa mkubwa wa mambo muhimu, sisi tunaridhika kuwa na wananchi wasioelewa kitu, wanaoongozwa na imani za ajabu ajabu na mitazamo isiyojikita katika uhalisia wa mambo. Unaposema Acacia wa wametunyonya, hivi unajua hii biashara ya uchimbaji mkubwa unavyoendesha duniani kote? Au ume base zaidi kwenye simulizi za kipropaganda wa kijamaa kuwa kila mtu mwenye juhudi ni mnyonyaji???

Mtu huyu huyu ukimuuliza saga ya ACACIA ilivyoenda na ipo na khali gani saivi hajui kitu, ni kapewa elfu saba na chama kala vichipsi vya mnazi mmoja na maji ya chumvi kashiba kachomekea shati lake la kijan vizuri then kashika simu yake kaanza kuropoka uharo, ..
 
Duh
 
Back
Top Bottom