Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Hatuhitaji wakoloni acha kufikiria kitumwa mkuu!
Mkuu unajua sisi polisi wetu hii ishu hatuwaelewi au wanamkingia mbowe kifua maana wapo kimya na si unajua tunatakiwa mbowe aingie kwenye 18 fasta sasa hii ishu tungeita FBI baasi.
 
Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!
Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais , ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!
Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.!

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome report ya mkaguzi mkuu wa serikali uone madudu ya chama cha kijani,na hizo pesa alizolipwa,Lisu,kila mbunge upewa,sio lisu tu,
Ndugae alikaa Hospitali India,akakodisha jengo,akalifanya ofisi ya bunge ya muda,akasafirisha wasaidizi wake,akawa anaendesha shughuri za bunge kutoka India,unajua alitumia Tsh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
MABEBERU waende MIGA kufanya nini wakati Bado wamepewa Mikataba Legelege vile vile, na yale Mazillion tuliyoaminishwa watalipishwa hayapo na Makinikia yamewekwa sokoni kwa haohao Mabeberu....,Sasa hapo wanaenda kushitaki kwa Lipi?,
Tungefuata mapendekezo ya wale maprofesa wa ile tume ileeee...Ndo ungejua kuwa BEBERU Akisha nusa Mkia wa mbuzi ke....huwa haondoki eneo hilo mpaka kieleweke.
 
Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!
Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais , ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!
Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.!

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una TAPATAPA,wajifanya kuanza na Kwaresma Kumbe upo kambi ya walio anza na shetani na huwezi kumaliza na MUNGU. washeikhtwani ni Washetani tu. hutoki hapo umekamatwa.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Ya kwako imesaidia nini?
 
Lisu ni fara tu, na atakuwa anajuta sana sasa hivi, alidhani wazungu wangemwamini na kumpa deals.
Majuto ni mjukuu, wacha ashike adabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom