Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kila moja hawezi kuunga mkono juhudi hata kwa hizo SMG. Hii serikali yenyewe inaishi kwa fadhila za wazungu wanaoipa "Handouts".
 
Lissu alisomeshwa na baba yake aliyekuwa akilipa kodi kuliko shangazi yako.
 
..mtetezi wa kweli wa rasilimali za nchi ni huyu anayezungumza hapa.

 
v
VIPI WEWE ELIMU YAKO INA MSAADA GANI KWA TAIFA HILI KAMA MNASIFIA MATENDO YA FIRAUNI.
 
Waliomuuwa chacha Wangwe baada ya kutaka kuwa mwenyekiti?
Na kwa kweli hao wasiojulikana ndio walimuua baada ya Wangwe kuvujisha siri ya kumuona Balali Marekani akiwa hai huku wananchi wakiwa tayari wamedanganywa kuwa alikuwa amefariki dunia.

Hakuna hata kiongozi mmoja wa Chadema aliyeshitakiwa kufuatia kifo cha Wangwe. Kadanganye wajinga wenzako.
 
Na kujitoa maana yake wawekezaji bye bye
 
Lissu amelisaidia sana taifa letu...
hahaha kwa lipi? very very useless! infact upinzani ni very useless haswa chadema, nyie mnapiga kelele corona na at the same time mlikua mnapiga kampeni huku mkijua kuna corona, ni mara 100 alietetea hakuna corona then akawajaza! sasa nyie corona mnasema ipo alafu mnaita watu kwenye mikusanyiko, ivi mna akili kweli nyie?
 
Pole dada uwezo wako wa kudadavua mambo ni mdogo sana acha kabisa kujadili elimu za watu mimi nakushauri rudi darasani kasome upya ukihitimu utashangaa uwezo wako wa kujadili mambo utaongezeka,kwa sasa uko gizani,rudi shule dada

ndo upinzani kwa jumla mmekuja na hili jibu?
 
Wewe ndiye mzigo na mwabudu miungu ya akina Jiwe.Jiwe ndiye arudishe hela, huwezi ukawa mwanasayansi halafu ukaamini dawa za mitishamba kwenye matatizo makubwa km korona.
 
ELIMU ya vijana wa Lumumba ichunguzwe.
 
ELIMU ya vijana wa Lumumba ichunguzwe. Ukiwa professor wa CCM ndio walee wanaohamasisha watu kupiga nyungu kupambana na korona.
 
Wewe ya kwako inawasaidia nini watanzania?? Wacha imsaidie yeye na familia yake kwanza. Kama Mnataka iwasaidie mgeni nafasi, na siyo kumjazia kesi zisizokuwa na maana.

Kama alipigwa risasi na "majambazi" mchana saa 7 na "majambazi" yakatoka bila kuguswa, unategemea Lissu afanyeje?
 

Mtu huyu huyu ukimuuliza saga ya ACACIA ilivyoenda na ipo na khali gani saivi hajui kitu, ni kapewa elfu saba na chama kala vichipsi vya mnazi mmoja na maji ya chumvi kashiba kachomekea shati lake la kijan vizuri then kashika simu yake kaanza kuropoka uharo, ..
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…