Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Lissu aliingia mikataba gani iliyoitia hasara nchi hii??Subiri povu kwa wasaliti wenzie wenye faida nayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu aliingia mikataba gani iliyoitia hasara nchi hii??Subiri povu kwa wasaliti wenzie wenye faida nayo!
Lakini alitudanganya tutashitakiwa MIGA ili tuwaogope Accacia kuwashughulikia kama ambavyo tunawashughulikia sasa hivi...!!Sidhani kama Lisu anahusika katika kusaini mikataba ya uwekezaji na Acacia au Barick Gold Mine. Mtoa mada ungeacha kufikiria kisiasa ungeuona ukweli. Tusihamishe uzembe wetu kwa kulaumu wapinzani. Acha kufunikwa na chuki ufikiri vyema bosi. Usifikirie kichama Fikiri beyond partism..
Jibu hoja acha mapovu!Ukute hata bunge hajawahi kuangalia kiumbe huyu pia inaonesha jf imevamiwa Sana yaani nahisi Kuna watu wapo kwa 7000 humu. Kazi yao Ni mmoja tu Kama huyo. Sasa na wewe elimu yako imekusaidia nini?
Wewe ndiye,Jibu hoja acha mapovu!
We elimu yako imesaidia nn katika taifa hili zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard na kujifanya unajua kuandika.Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mada jamvini elimu ya Lissu haina faida kwa taifa!Lissu aliingia mikataba gani iliyoitia hasara nchi hii??
Hapa ndipo ninapoona Lumumba Wote hamna akili zaidi ya kuwawezesha kuvuka barabara! Lissu alishauri Kama tunataka kuwashughulikia tunaowaita wanyonyaji tujitoe kwanza MIGA, hakusema tutashitakiwa MIGA! Oneni tofauti, MIGA Ni Mkataba. Lissu alisema tutashitakiwa kwenye Mahakama za Kimataifa, Jambo ambalo limeshafanywa na Accacia! Nyie hapo Lumumba najua mnasubiri msikie Tanzania imeshitakiwa MIGA mlivyo na akili duni kutokana na Maradhi ya minyoo na kwashiakoo! Fungueni akili, elimikeni, sii muda wa kukaza shingo, mmeshashindwa ila bado vipofu!Lakini alitudanganya tutashitakiwa MIGA ili tuwaogope Accacia kuwashughulikia kama ambavyo tunawashughulikia sasa hivi...!!
Alitoa taarifa Vyombo husika, walifanya Nini?! Elimu yako ina mchango gani kwa Taifa?(sijui hata Kama Elimu yenyewe unayo)!Ukiangalia hili tukio la yeye kushambuliwa risasi utagundua hiyo elimu haijamsaidia hata yeye binafsi achilia mbali taifa lenyewe.Unatishiwa maisha for months unatembea umening'iniza kende tu bila chochote cha kujihami,unagundua unafuatiliwa siku ya tukio halafu unakimbilia sehemu yenye watu ambao unawatuhumu miaka yote kwamba wanatumika na wabaya wako,suala la matibabu nalo vipi!
Wewe elimu yako ina faida gani ?? Hata kwa jamii yako haina faida !Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
lissu amelisaidia sana taifa letu...
Hivi ni musiba au ni msibaDAB na MUSIBA Elimu zao zina msaada mkubwa kwa jamii!
Ni mpuuzi pekee mwenye Maono Kama yako! Huko Lumumba nipe mtu mmoja tu Elimu Yake imelisaidia Taifa angalau hata robo ya alichofanya Lissu! Kama kina Chenge na Kalemani nao elimu yao ilitumika kuliangamiza Taifa lakini bado mpo nao serikalini na chamani, mnadhani mna uwezo wa kuiongelea Elimu ya Lissu?Mada jamvini elimu ya Lissu haina faida kwa taifa!
Hapo ndo unatumia elimu yakoSubiri povu kwa wasaliti wenzie wenye faida nayo!
Madish yamepinda walahiMada jamvini elimu ya Lissu haina faida kwa taifa!
Ya kwako imetusaidia nn?Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mnadhani Lissu aliwadanganya kwa sababu wale ambao alisema wanaweza kuwashitaki bado hawajapata sababu ya kuwashitaki! Hawajapata sababu ya kuwashitaki kwa sababu bado hadi sasa mnacheza ngoma yao!!Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Siku hizi Mungu anashika bunduki eeh? Na kukimbia na CCTV eeh? Na kuondoa Walinzi eeh? Huyo atakuwa mungu wa Chato, ila tunajua Mungu Muumba wa Mbingu na nchi HAKURUHUSU MJOLI WAKE KUANGAMIA!Si uoni Mwenye Enzi Mungu anavyo mtandika vikali?
Na bado walahi