Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kwanza ana elimu gani kijana mpiga kelele, nadhani hata huko ubelgiji anapigia watu kelele
 
Zitto na Lissu wameleta mabadiliko sana nchi hii kupitia bunge!Sakata la buzwagi lilianzishwa na Zitto,wakiwa na Lissu walisimama vyema kupigania mrabaha kuongezwa kutoka 3%!!!!

Mtemi Chenge(alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na sasa mwenyekiti wa bunge),msomi wa Havard university ametoa mchango gani kwa taifa?

Kila sakata la ufisadi yumo,cha ajabu yuko salama salmini!!!!
Hakuna mabadiriko yeyote, labda ungesema Dr slaa
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Haina msaada kwako na familia yako na watu wa aina yako
 
Superiority complex ndio ugonjwa wa bwana mkubwa kutoka mkoa wa Singida.

Typical bongo mindset, aliwahi kumkejeli mwalimu Nyerere tena ndani ya bunge, alimjekeli mtu ambaye aliumiza kichwa chake katika kujenga msingi wa Tanzania inayoheshimika kila kona ya dunia hii.

Atashindwaje kuwatisha wasiojielewa eti kwamba tutashtakiwa kwa wazungu!!.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mkuu hivi wewe huko uliko kitengo chako ni kuzungumzia watu walio kinyume chako kimtazamo kwenye mitandao, au ndo wale mnaosemwa watu wenye akili...... akili yao nikuzungumzi maisha ya wtu.Tuambieni kama Yale makontena bado yapo bandarini basi.
 
Sidhani kama Lisu anahusika katika kusaini mikataba ya uwekezaji na Acacia au Barick Gold Mine. Mtoa mada ungeacha kufikiria kisiasa ungeuona ukweli. Tusihamishe uzembe wetu kwa kulaumu wapinzani. Acha kufunikwa na chuki ufikiri vyema bosi. Usifikirie kichama Fikiri beyond partism..
Anafikili juu ya tumbo lake tu huyo.
 
Anahusika kuitisha serikali isiwabugudhi acacia. Hata kama ccm ilikosea mwanzoni. Kwanini akawa anatutisha watatushtaki wakati sio kweli. Unafuatilia hili suala lakini
Kwani hatuja shitakiwa,upo dunia gani mwenzetu
 
Huko unakoenda ni mbali mno.Je,elimu yako imesaidia nini ukoo wako?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

Tumekuelewa binti, elimu ya Kibajaji na Bashite ndio ina manufaa katika hii nchi!
 
Alitoa taarifa Vyombo husika, walifanya Nini?! Elimu yako ina mchango gani kwa Taifa?(sijui hata Kama Elimu yenyewe unayo)!
Vyombo gani ilhali vyote hana imani navyo?
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Kabla hujamnyoshea mwenzako kidole jiulize kwanza wewe elimu yako inamsaada gani kwa taifa...........ebu thibitisha kwamba alisomeshwa na kodi yako
 
Back
Top Bottom