Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Kama una akili za kuazima au kwenu mna asili ya uendawazimu huwezi kuona msaada wa Lissu, ila kama umemaliza std 7 tu na huna tatizo la akili basi utamuona Lissu kuwa anastahili kuwa 'kaka wa Taifa.
 
Jimboni kwake tu hana msaada wowote ,sembuse kwa taifa?

Hebu nitajie mambo matatu aliyofanya Lisu jimboni kwake
 
Kama una akili za kuazima au kwenu mna asili ya uendawazimu huwezi kuona msaada wa Lissu, ila kama umemaliza std 7 tu na huna tatizo la akili basi utamuona Lissu kuwa anastahili kuwa 'kaka wa Taifa.
Sasa kwanini lissu ajadiliwe??
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Ila ujinga wa watanzania ndo una faida kwa ccm.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Vipi elimu ya Palamamba, kile kishika uchumba tushapewa?
 
Lissu na Zitto Kabwe wote elimu yao ni utata mtupu, hawana kabisa faida na nchi yetu.
Mi nafikiri sijaelewa hapa...
Hivi elimu ya mtanzania kusaidia taifa ni kusema ndiyo kwa kila kitu?
Kuibua mambo,kuhoji na kutofautiana mitizamo ndo elimu kutolisaidia taifa.
Hivi kina TL na ZK ndo wamelifiksha hapa taifa? wlisaini hiyo mikataba ya Acacia?
Alivyodanganya kuwa tutashitakiwa, baada ya hapo tukalipwa nini na Acacia?
Tusipokuwa na maada za kuweka pembeni vyama vyetu na kujitahidi kuwa tunaungana kama taifa. Pale kwenye NDIYO na tuseme ndiyo na kwenye HAPANA tuseme hapana!!!
 
Anahusika kuitisha serikali isiwabugudhi acacia. Hata kama ccm ilikosea mwanzoni. Kwanini akawa anatutisha watatushtaki wakati sio kweli. Unafuatilia hili suala lakini
Oii..ipo kesi mbona London..lakini hata hivyo bado hatupo katikasalama kabisa. Kikubwa tujirekebishe tu maana demage was done na sisi ndio tumeyafanya hayo..serikali hii hii yetu. damage control is too risk than damage itself. Ukikuwa utayajua haya mdogo wangu..madai hayana mwisho wala mipaka.
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mkuu wazungu wanamwelewa JPM vizuri sana,jamaa yuko sahihi kwa approach zote anazofanya..sisi(waafrica) hatujitambui...mzungu hawezi kuhujumu nchi yake ,sie tuna upumbavu huo..hatuwajibiki ipasavyo kwa manufaa ya nchi zetu...ndo maana tulitandikwa viboko enzi za ukoloni kujenga reli kwa manufaa yetu..
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Ulitaka elimu yake ikusaidie wewe wewe elimu yako imesaidia nini taifa na isitoshe lisu alisomeshwa na wazazi wake na sio wewe
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

Ni hatari kijana wa kiume kuwa na ufahamu ulioganda upande wa kushoto kiasi hicho.
 
Mleta mada hukusoma au sana sana umebabiababia huko shule za kayumba, utawezaje kumuelewa mtu kama Lisu na Zito kwenye suala complex kama MIGA?!
 
Back
Top Bottom